Dah! shem pasua kichwa...

.......hivi ni kwamba mimi nazeeka au mambo ya mjini yananipita?

hainiingii akilini mtu mzima na akili zako unaenda kulala chumba cha shemeji yako/ mpenzi wa rafiki yako hata roho haistuki?

au ndo kusadikika?

Mkuu najua ina sound cryz.. Huwa inatokea hasa kama mwanamke anataka kitu, halafu anakutega na kutaka mambo ya automatic, hapo hapo wewe 50
-50 huwa inaishia hivyo.
 
Umekosea mkuu. Ungekula mzigo siku ile ya kwanza kulala nae. Bora lawama kuliko fedheha
Mkuu vitu vingine sumu, inabidi unapotezea. nlikua najiuliza siku ile usiku,''WHY HER'', sababu kuna wanawake weengi ambao nkitembea nao haita nigharimu chochote.
 
Umekosea mkuu. Ungekula mzigo siku ile ya kwanza kulala nae. Bora lawama kuliko fedheha
Mkuu unamshauri angekula mzigo,magonjwa je?Je ni rahisi kwako kumsaliti rafiki yako kwa mkewe?Kuna watu wana imani zao na ni thabiti.
 
Jamaa kashaweka kambi, Demu ana mtoto mmoja, Kuna fununu flani eti mtoto sio wa mshkaji. Imekaaa vibaya hii

Sasa mshikaji wangu mambo yangu ya ndani umekuja kuyaleta huku?kweli leo ndo nimetambua urafiki wetu wa mashaka


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sasa mshikaji wangu mambo yangu ya ndani umekuja kuyaleta huku?kweli leo ndo nimetambua urafiki wetu wa mashaka


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaaa...umenunua lini iphone? ila nataka nipate ushaur ili tukusaidie, kwa kua upo hapa basi ngoja upate daaawa live
 
Hahaaa...umenunua lini iphone? ila nataka nipate ushaur ili tukusaidie, kwa kua upo hapa basi ngoja upate daaawa live

Tuachane na mambo ya iphone ila mshikaji umenivua ila akhasante kwa yote,kumbe unajua uchafu anayonifanyia huyu kiumbe hadi na huyu mtoto sio wangu bado umekaa kimya,uwapi urafiki wetu?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umekosea mkuu. Ungekula mzigo siku ile ya kwanza kulala nae. Bora lawama kuliko fedheha
 
hivi wewe kaka ulale na mke wa mtu tena chumba kimoja hivi hata kama ni wewe ungeamini kwel acha tabia zako zitakupeleka kuzim one day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…