Dah! shem pasua kichwa...

Sidhani Kwa Mwanaume Jasiri Na Mwenye Kujitambua! Aweza Kulala Na Mtt. Wa Kike Chumba 1 Na Kitanda 1!Coz, Ni Hatari Sanaa! Ndio Maana Mshikaji Hakuamini Kabisa Kama Haujakula Mzigo Wake!! Saa 6 Usiku Kidume Wagwaya Kutembea Kurejea Home?
Ingekua ni salama kukuelezea mazingira tuliyokua tunaishi nadhani ungekubaliana na mimi, but naogopa kufunguka labda kuna mtu anaenifahamu akapata picha na kuelewa hali halisi.
 
nimeipenda hadithi yako, nzuri sana kwa vijana wengine wanaokuwa....
Jamaa alikua mshkaji saaana, yani kuna kipindi watu walituita pacha sababu kila mahali tulikua wote.
 
angeleta mke mwingine nahisi ndo ilikuwa tiba sahihi.
wakati mwingine nahisi jamaa kapewa limbwata, kuna siku jamaa alikua ndani shem alikua anaongea na washkaji flani kwenye gari nje, basi jamaa alivyotoka akakuta shem anafanya mapenzi kwenye gari na jamaa.. Dah, ugomvi ulikua mkubwa sana
 
Huyu shem ana utata sana, jinsi tulivyompata ilikua kama usaliti, kwani alikua gf wa rafiki yake na mshkaji,akaamua kumsaliti bf wake akajiingiza kwa jamaa...halafu akataka kuendelea na dhambi kwa kuja kwangu.
Kumbe!Basi alikuwa anataka kuwamaliza nyie wote aone utamu wa marafiki ukoje,afadhali uliliona hilo na kumwepuka,ukifanya uchunguzi unaweza kukuta karudiana na yule rafiki wa mshikaji,kuna msemo mjini siku hizi kuwa, UKIOA MWANAMKE MJINI NA SI BIKIRA BASI UJUE UMEOA MPENZI WA MTU HIVYO ISHI NAE KWA UMAKINI WA HALI YA JUU MAANA MWENYE MPENZI ANAWEZA KUWA ANAJIHUDUMIA ATAKAVYO.
 

Huyo mwanamke hafai. tumshauri huyo kaka afanye manduzi hapo kapotea ataishia kuambulia magonjwa tu. huyo demu hajatulia kabisa.
 

Demu anamtoto kwa sasa, afu kuna uzushi eti mtoto sio wa jamaa, sababu ukicalculate miezi inaonekana kipindi cha kupewa hakuwa kwa mshkaji..Demu bado anachat na mshkaji wa mwanzo. HAPO NDIO NASEMA NDOA NI MATESO YA SIRI
 
Huyo mwanamke hafai. tumshauri huyo kaka afanye manduzi hapo kapotea ataishia kuambulia magonjwa tu. huyo demu hajatulia kabisa.
Jamaa kashaweka kambi, Demu ana mtoto mmoja, Kuna fununu flani eti mtoto sio wa mshkaji. Imekaaa vibaya hii
 
Kesho yake utaikuta hii kitu watu wanaitumia kama script ya movie...
 
Huyo mwanamke hafai. tumshauri huyo kaka afanye manduzi hapo kapotea ataishia kuambulia magonjwa tu. huyo demu hajatulia kabisa.
Mkuu NAMTUMBA hujui ni kiasi gani Dikembe kaumia kuona shemeji yake karudi hata baada ya kufanya maumivu kwa rafiki yake,unaweza kutoa ushauri na kujikuta unajenga uadui tu,Tumuuombee kwa Mungu rafiki wa Dikembe amwepushe na kila baya toka kwa mkewe.
 
sina USHAURI wowote katika hili. Nimesoma, nimejifunza na NIMEELEWA
 
Demu anamtoto kwa sasa, afu kuna uzushi eti mtoto sio wa jamaa, sababu ukicalculate miezi inaonekana kipindi cha kupewa hakuwa kwa mshkaji..Demu bado anachat na mshkaji wa mwanzo. HAPO NDIO NASEMA NDOA NI MATESO YA SIRI
Mkuu Dikembe yanahitajika maombi katika kudeal na suala hili maana ukitumia uwezo wa kawaida wa binadamu hapo utaambulia matatizo tu,huyu shemeji yetu anatupa sababu ya wanaume kutowaamini wanawake zetu,haiwezekani aendelee kuchat na mpenzi wake wa zamani wakati alikwishaamua kuwa na mtu mwingine,hivi ukiwa na rafiki yako unajisikiaje hata baada ya kujua yote hayo?Mungu atuepushe na wanawake wa namna hii.
 
Hili jambo linatutoa imani kabisa, unaweza kuwa unalea afu watu wanakuchora tu mkuu, jamaa huwa sithubutu kumwambia kitu kuhusu huyu mwana mama wake, kwani hatokubal kumwacha. Huwa anasema anampenda sana, Inasikitisha jinsi wanawake wa siku hizi wanavvyotuendesha.
Kipindi cha wazaz wetu hakukua na vitu kama hivi.
 
Kesho yake utaikuta hii kitu watu wanaitumia kama script ya movie...
Itakua jambo jema, kwani movie zikibeba ujumbo wa mambo ambayo yanatokea within our society inakua inatusaidia kupata elimu ndani yake. Sio movie za siku hizi mambo hayaeleweki yanatokeaga wapi...
 
Sina neno jingine zaidi ya kumwita hivyo,sidhani kama anamfaa rafiki yako!
Wanawake wa miaka hii ni majanga, hasa wa Dsm, yani kulala na mwanaume haimanishi amechana na mpenz wake.
 
Umekosea mkuu. Ungekula mzigo siku ile ya kwanza kulala nae. Bora lawama kuliko fedheha
 
.......hivi ni kwamba mimi nazeeka au mambo ya mjini yananipita?

hainiingii akilini mtu mzima na akili zako unaenda kulala chumba cha shemeji yako/ mpenzi wa rafiki yako hata roho haistuki?

au ndo kusadikika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…