Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,707 Reaction score 128,308 Feb 28, 2019 #21 Sijakuelewa Mtani? Chumchang Changchum said: Binadamu tumeumbwa tofauti.. Click to expand...
Chumchang Changchum JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 6,151 Reaction score 6,449 Feb 28, 2019 #22 Shadeeya said: Sijakuelewa Mtani? Click to expand... Uwenda analia kweli....
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,707 Reaction score 128,308 Feb 28, 2019 #23 Yah! Ndio maana nkasema nisihukumu huenda analia kweli. Chumchang Changchum said: Uwenda analia kweli.... Click to expand...
Yah! Ndio maana nkasema nisihukumu huenda analia kweli. Chumchang Changchum said: Uwenda analia kweli.... Click to expand...
Chumchang Changchum JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 6,151 Reaction score 6,449 Feb 28, 2019 #24 Shadeeya said: Yah! Ndio maana nkasema nisihukumu huenda analia kweli. Click to expand... Haya mtani...Nina wapa pole wale wote walioguswa na msiba... Ninawapa moyo wa uvumilivu wale wote waliotendwa na marehemu..
Shadeeya said: Yah! Ndio maana nkasema nisihukumu huenda analia kweli. Click to expand... Haya mtani...Nina wapa pole wale wote walioguswa na msiba... Ninawapa moyo wa uvumilivu wale wote waliotendwa na marehemu..
MzaramoTz JF-Expert Member Joined Dec 13, 2017 Posts 1,873 Reaction score 3,096 Mar 1, 2019 #25 Shadeeya said: Hahahaaa. Umeonaeeee. Waeza kuta kajiweka hivyo apigwe picha tu tu ili baada ya hapo airushe insta apate likes na followers lakini nje ya hapo hana hata chembe ya Uchungu. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Waigizaji si wa kuwaamini hata kidogo. Click to expand... Yaaaaani kama ulikuwepo kwenye kichwa changu mawazo yako kama yangu mwaya. Acha tu. Wengi wao wapo kwa show off tu hakuna cha zaidi isipokuwa kujionesha kwa watu tu kwa ajili ya maslahi yao binafsi my dear. Acha tu mamitto.
Shadeeya said: Hahahaaa. Umeonaeeee. Waeza kuta kajiweka hivyo apigwe picha tu tu ili baada ya hapo airushe insta apate likes na followers lakini nje ya hapo hana hata chembe ya Uchungu. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Waigizaji si wa kuwaamini hata kidogo. Click to expand... Yaaaaani kama ulikuwepo kwenye kichwa changu mawazo yako kama yangu mwaya. Acha tu. Wengi wao wapo kwa show off tu hakuna cha zaidi isipokuwa kujionesha kwa watu tu kwa ajili ya maslahi yao binafsi my dear. Acha tu mamitto.
MasterP. JF-Expert Member Joined Jun 5, 2013 Posts 8,260 Reaction score 6,823 Mar 1, 2019 #26 Huyu andunje ana matatizo sana Sent using Jamii Forums mobile app