Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,500
- 12,843
Habari zenu wajuzi wa mambo.
Kunamwana angu mmoja nimejuana nae toka 2016 kipindi hicho tulikua nafanya nae kazi pamoja mtaani. Tukaja potezana mimi nikaendelea na ishu zingine, yeye akawa anaendeleza harakati.
Year 2020 nikarudi tena kwenye harakati nilizokua nafanya nae. Mshikaji nilimkuta yupo nje ya reli mambo hayakua mazuri kwake, nikaona isiwetabu nikamuambia tu team up kama zamani. Ikiwa mimi nita-finance kila kitu iliturudi kwenye reli.
Vikao tukawa tunakaa tukiseti mipanga ya nini kifanye mara kadhaa ikiwemo kufungua ofisi na kupeana majukumu ya kila mmoja cha kufanya, ila changamoto iliyokua inaibuka nikuwa pale tu tunapoaachana jamaa alikua hapatikani kwenye simu na akipatikana hapokei sometimes mpaka wiki mbili zinapita jamaa ndio anakuja kupokea simu.
Baadae ya hapo the cycle continues, tunapanga Mipango time ya utekelezaji jamaa haipatikani kwenye simu na kutokupokea. Imekua ivyo since 2020 June - Dec duh nikaona mwana hayupo tayari nikaachana nae hii ilitoea baada ya jamaa kutokupokea simu zangu kwa miezi miwili mfurulizo.
2021 Jan nikawa nimepata ishu nyengine nikahamia mkoa nakuamia mkoa B.
Nimekaa mkoa B For 6 months, bila kucontact na mshikaji. Ila katikati ya mwezi wa 6 nikapata some really potential information ambazo zingeweza kutuboost kwenye ile mishe/harakati. Kwa kuwa yeye yupo mtaa na ofcourse hanamishe to date. Nikaona isiwe mbaya nika-share nae. Nae akasema kuwa iliishu tuipange nyema na inoge inapidi yeye aje mkoa B nilipo.
Bhana wewe napo ikawa ni ishu tena ikawa nakuja siku fulani, siku iyo ikifika jamaa hapokeii simu zinapita hata wiki 3 ndio anapokea.
Nikamtumia nauli, napo hali ikaendelea kuwa vile vile. Chakushangaza ni kuwa jamaa anaequipments za kufanyia harakati zenye thamani zaidi ya millioni 3.8 na vyote hivyo kaviweka ndani mimi sijainvest chochote ila strategies na porojo za kupata wateja tu.
I was wondering kwa kweli , kunasiku nilipata client nikamseti vizuri tu kuwa ofisi zetu zipo mkoa A , kuwa mteja afike mkoa aliopo mshikaji wakutane wa-close the deal. Ila story ikarudi kuwa ileile baada ya mi kumpa contact za mteja tu. Jamaa akawa hapatikani kwenye simu tena as usually. Jamaa Aliachia deal la zaidi ya 2m likapita I was like what!! I didn't believe what happened.
Mwezi huu nilifika mkoa A alipo mshikaji nakukutanana nae. Mshikaji nakutanana nae analia njaa tu yupo kijiwe cha betting akizichambua vyema odds za mechi mbali mbali za afrika na kimataifa, kweli hata out look yake ilikua hainanuru.
Nikamdadisi labda mshikaji anaishu nyengine, wapi hana daily nikushinda betting house. Nikafika hadi kwake equipments nikazikuta zipo tu yani zaidi ya 3.8m imelala ghetto. Mwamba hana habari yupo bize na betting af chakushangaza hata pesa ya betting nayo yakuunga unga.
Before sijaondoka mkoa A, kurudi mkoa B nikakaa vikao na mshikaji jinsi ya kupata chochote kwenye ujuzi tulio nao. Moja ya mkakati ilikua ni kuanzisha ofisi ya mfukoni na mambo mengine.
Jamaa nikamuachia pesa kidogo ya matumizi na vitu baadhi vyakufuatilia ikiwemo muhuri tu, huwezi amini simu azijapokelewa tena mpaka timu hii naandika uzi huu na ni wiki 2 sasa zimepita.
Ase nimeshindwa kuelewa kuwa huyu jamaa anashida gani.
Wataalum wenye analysis nzito za ulozi
Hii imekaaje inawezekana jamaa wakawa wamroga au ni wenge lake binafsi?