Dah!maumivu ninayoyapata kukukosa charminglady bora nirudi jera(BAN)

we wakati,is this your first love? Zoea,hao ndo wanawake wa bongo,ukiona hivo jua mwenzio kakuzidi kete.Kwa ushauri zaidi ongea na Smile.

Unajifanya Iniesta siyo !
Mzee wa kutoa mapande ya mwisho !
Tumia umaarufu wako unipigie namie pande basi!
 
Last edited by a moderator:
Khaaaaaaaa charminglady so kubembeleza huko,naomba nije kwako unipe lecture ya kumbembeleza my sweet heart wangu maanake kwenye hiyo sekta mi mbovujeee???????nisipokuwa makini muda si muda namwagwa.niokoe mwenzio.
 
Last edited by a moderator:
Unatakaje sasa mbona hueleweki muambie tuu unalotaka sema ustake ntibua sahiii huo ushem kwanin uwe na expirin date?


Khaaaaa we beibe nasty utamfanya mwenzio ashindwe kupata lunch kwa amani ya bwana lol.....mie huyu ni shemeji yangu wa zamani kwa Husninyo .....sasa kama wameachana sie ndio tuanze kununiana?......usijali hakuna zaidi ya ushemeji kwa mimi na Judgement!
 
Last edited by a moderator:
baby charminglady hapa sasa ndo umenifikisha, siwezi kupata kifungua kinywa bila wewe pembeni yangu, nilishe nikulishe tusahau shida za dunia mpenzi

mwaaah,huz me like it. afu leo jion unipitie nkupeleke kijiwe flani kipya. weee kuna nyamachoma za ukwee!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ndugu yangu wakati ndio sasa. Hiyo hali ni ya kawaida unapopenda kwa dhati. Lakini kupenda ni sawasawa na kucheza mechi: kuna kufunga au kufungwa. Lolote liwalo unalipokea; kufunga au kufungwa. Funga macho yako, piga kifua halafu sema: "Hapa nimekosa na aliyempata ana bahati.Lakini safari ijayo naapa sitakosa." Ukishasema hivyo, jaribu pengine. Ili upate nguvu ya kuendelea, jaribu kumsahau charminglady kabisaa.

Nakutakia utafutaji mwema na mafanikio ila chunga sana usije ukamwita huyo unaemtafuta halo dada charminglady! Sahau hili jina kama ulivyolisahau jina la mwalimu mkuu wa shule ya msingi ulikosomea darasa la nne.
 
Last edited by a moderator:
Khaaaaaaaa charminglady so kubembeleza huko,naomba nije kwako unipe lecture ya kumbembeleza my sweet heart wangu maanake kwenye hiyo sekta mi mbovujeee???????nisipokuwa makini muda si muda namwagwa.niokoe mwenzio.

ucjali mpenzi, nitafte baada ya kazi. nakuhakikishia afta 1 week atakuwa kanyooka!
 
Last edited by a moderator:
Unatakaje sasa mbona hueleweki muambie tuu unalotaka sema ustake ntibua sahiii huo ushem kwanin uwe na expirin date?

My Mamsapp why are you coming much harsh like ?
You just take a pause on approach to your negative feelin !
Rather than regardin as inevitable and natural .
My wife just be in a positive attitude! , not a negative emotions .
I'm ask you one quiz -
What are the images and possibilities that pop into your mind?
 
Back
Top Bottom