Dah mapenzi ya hausigel matamu jamani

Umenikumbusha mabli sana, nilikuwaga namtafuna hous girl akawa ananitunzia msosi wa maana hata kama nikichelewa misele,,, nilikuwa nakula mimi kamshara kake kote kaelfu 30 kipindi iko. Daaah! Haya maisha
 

well said all i can say is that experience is the best teacher, ila kwa mtoto wa kiume anaebaleghe anaeshinda nyumbani all the time na hg alafu asimtamani saa nyingine kazi sana alafu pia wapo ambao huwa na feelings nao, wapo ambao wamepeleka kuona though mifano sio mingi ila kwa sababu siku hizi watoto wa shule wapo wengi naamini hicho ulichokiandika hapo juu wapo watakaojifunza na kuacha hiyo sexual abuse.
 
Hebu rudia tena kusoma uliyoandika, sijui utamuaminisha nani kuwa nawe umeoa na una familia...

Dah! Mkuu umenena yani anayo yasimulia mi nafkiri ndio anayafanya saivi, asi singizie kwamba aliyafanya
 
Dah! Mkuu umenena yani anayo yasimulia mi nafkiri ndio anayafanya saivi, asi singizie kwamba aliyafanya

Hahaha nisingewaficha,ningekuwa nafanya ningesema tu niogope nini wakati hamna hata mmoja anayenijua humu JF
 
Weka picha ili hadithi inoge

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 

Nidai eateli mane ya buku mbili .......!!!!!!!!!!!
 
Hahaha nisingewaficha,ningekuwa nafanya ningesema tu niogope nini wakati hamna hata mmoja anayenijua humu fb

Nyie watoto wa FB mna matatizo sana

Unadhani na hapa ni nuko kwenye mambo yenu ya hovyo

Unachanganya mambo hadi hujui uko kwenye basi gani

Eti fb!!
 

Utajisikiaje ukisikia kuwa mke wako na yeye kila shamba boy ama house boy wote waliopita kwao wote walitembea nae na mbaya zaidi bado anawasiliana na shamba boy aliemtoa bikra ingawa wapo mbali wanakumbushia enzi zile. The whole point ni kwamba some stories must remain untold until you die unachotakiwa tu ni kuomba msamaha kwa Mungu akuhurumie na akusamehe na sio kuja kujisifu na kutaka watu wachangie ujinga ujinga
 

mnafungua lini shule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…