DHAMBI SANAAAAAA! Mtoto wa
mwenio kaja kutafuta maisha na kuganga njaa yake tu afu wewe ndo unatake
advantage, na wala hukuwa na feelings ne, basi tu sababu alikuwa
VULNERABLE ndo ukatumia hiyo chance!
Hivi hamkaagi mkawaza yule nae pia binadamu, ana wazazi wake, na hisia
kama nyie mitoto ya kifogo.
Mimi binafsi kuna house girl mdada/mtoto by then, kama sisi tu, alikuwa
anachangiwa na cousin zangu 2, wote wana mla kila mtu kwawakai wake.
Maskini akpata mimba, sasa shangazi anazima soo anamuuliza YA NANIKATI
YAO? Kanajibu MIMI SIJUI!!! Msinirudishe kijijini tu. Anaulizwa ulikuwa
unadunguliwa na wote? Walinitishia watanifukuza kazi.
Shangazi akaenda kumtoa ile mimba kinyemela bi mkubwa hana habari, busy
ofisini., na kumwambia aikugusa yeyote niambie. Alituchambaaaa kwa
kufungia macho puuzi ule, sina hamu nae mpaka keso. Akasema hamuoni huyu
mko sawa nae, mnaona anavofanyiwa mazuri? Ana wazazi wake, mjue.
Mngeweza kumsaidia ila hamkutaka!
Toka hapo hauna kumgua ousegirl, NIKIJUA TU NAKINUKISHAAA kila konaaa!
Hata kwa rfiki zangu nikijua nitamtumia mama mwenye nyumba sms kibanda
cha simu. Mpaka kesho ofisini siwezi kufmbia macho SEXUAL ABU.SE kwa
vibinti. Labda nisijue. Nitatma email na fae ID, namcopy muhusika,
muhanga, HR, Manager, hadi C.E.O kuhakikisha NAKINUKISHA KISAWASAWA na
evidence afu nachuna kimyaaa kama sio mie vile. Najua watafukia fukia
ila Muhuska hatorudia tenaaaa baada kumjambisha jambisha.