Habari wanajamvi JF natumai muwazima kabisa.Niende moja kwa moja kwenye mada kuna mpangaji wetu mmoja hapa nyumban ana ndugu yake ambae nilitokea kumpenda sana na baada ya kuongea nae akanielewa ila alitaka nimuoe coz hatak kuchezewa so nami nikamwambia hilo halina shida ila kwa sasa bado sipo vizuri cha msingi nivumilie nijipange kwanza akanielewa baada ya kumweleza hvyo.Tumekuwa na uhusiano wa muda mrefu had ndugu zangu walijua hilo na huyu nduguye pamoja na mama ake walifahamu,so alikuwa anakuja anytime kwa nduguye ili iwe chance nzuri ya kuonana lakn miez miwili iliyopita ndo shda ikaanza ambapo tulikubaliana tukutane somewhere lakn akashndwa kufika na nilimpgia cm hakupokea na sms hakujibu kwa siku hiyo.Baada ya hapo nikawa kimya kumsikilizia kama atanieleza kwa nn hakupokea cm na hakujibu sms zangu,so nae akawa kimya kabisa kuhusu hilo baadae kama wiki 2 hivi akanipigia cm anieleza kuwa amesafir so baada ya hapo nilijiuliza maswali mengi sana kwa nn ameondoka pasipo kuniaga ila nikatulia kimya sikumuuliza chochote kuhusu hilo,na huko amekaa mwezi na kidogo ila anakaribia kurud akaniomba nauli nikamwambia kwa sasa sina hela so labla nikipata hiyo hela.
Nikiwa bado sijamtumia hela ya nauli akanipigia cm akinambia kuwa amesharudi na anaumwa sana so dawa umepata akanijbu kuwa bado hajapata nae hana kazi ya kumpatia hela nikamjibu kuwa anisubiri siku mbili hivi nikipata nitampa akanikubalia so kuna siku sina hili wala lile akaja home asubuhi bila taarifa hadi wengne waliponambia kuwa amekuja so kwenda kumcheki anadai anaumwa sana na muda huo ni jion so I was take easy kwa hilo kwan ameekuwa na tabia hii ya kuja pasi na taarifa nami nilishaongea nae japo hakunielewa.
Baada ya kukaa nae kwa muda mfupi nikamwambia kuwa kuna kaz so anisubir na asiondoke bila ya kuonana kwan kuna jambo la kuongea,akajbu sawa me nikaondoka baadae nampigia cm anajibu ameshaondoka ila imekuwa ghafla.Nikiwa nawaza kchwani mbona hataki tuongee but I was take easy lakn kuna siku nikamwambia kuwa nahtaji uwe mtu wa kueleweka na muwazi ila iwe rahis kufika malengo tarajiwa akanielewa japo kwa shngo upande.Siku nazo zikapita tabia ya mtoto wa kike nikawa siielewi so kuna sku nikamtumia sms kuwa nahtaj tuonane hakujbu ila kuna jamaa akaanza kuchat nami na akanitumia namba ya yule bint akiniuliza mwenye namba ile nani wangu nikamjbu kuwa ni best yangu akanambia kuwa yeye ni mke wake ata nyumbani anafahamika,baadae nikampgia cm yule jamaa akanambia kuwa kama alivyonieleza kuwa ni mke wake so niachane nae so nikaona ngoja nimpgie mtoto wa kike kumpgia akawa anaongea kwa was was ila tukaongea kdogo nikakata cm,nikiwa bado siamin akanimiss call kumpgia akapokea yule jamaa akinambia kuwa niachane kabisa na mke wake kwani atanipoteza so had hivi sasa nipo dilemma kabisa na nmeongea na nduguye wa huyu bint nae hajui chochote kama ndugu yake ameolewa kwani hana taarifa hiyo ndo mana hata mama yake alinifahamu ila binti amekuwa kmya tangu sku hiyo had leo wiki ya 3 sasa na hata kuja huku haji na kila akiambiwa aje na nduguye kuja kuyaongea anakwepa.
So ushauri please wadau