Kaguo Willy
Senior Member
- Nov 3, 2016
- 194
- 172
Habari wanajamvi JF, natumai muwazima kabisa.
Niende moja kwa moja kwenye mada kuna mpangaji wetu mmoja hapa nyumbani ana ndugu yake ambae nilitokea kumpenda sana na baada ya kuongea nae akanielewa ila alitaka nimuoe coz hataki kuchezewa so nami nikamwambia hilo halina shida ila kwa sasa bado sipo vizuri cha msingi nivumilie nijipange kwanza akanielewa baada ya kumweleza hivyo.
Tumekuwa na uhusiano wa muda mrefu hadi ndugu zangu walijua hilo na huyu nduguye pamoja na mama yake walifahamu,so alikuwa anakuja anytime kwa nduguye ili iwe chance nzuri ya kuonana lakini miezi miwili iliyopita ndio shida ikaanza ambapo tulikubaliana tukutane somewhere lakini akashndwa kufika na nilimpgia simu hakupokea na sms hakujibu kwa siku hiyo.
Baada ya hapo nikawa kimya kumsikilizia kama atanieleza kwanini hakupokea simu na hakujibu sms zangu,so nae akawa kimya kabisa kuhusu hilo baadae kama wiki 2 hivi akanipigia simu anieleza kuwa amesafiri so baada ya hapo nilijiuliza maswali mengi sana kwanini ameondoka pasipo kuniaga ila nikatulia kimya sikumuuliza chochote kuhusu hilo,na huko amekaa mwezi na kidogo ila anakaribia kurudi akaniomba nauli nikamwambia kwa sasa sina hela so labla nikipata hiyo hela.
Nikiwa bado sijamtumia hela ya nauli akanipigia simu akinambia kuwa amesharudi na anaumwa sana so dawa umepata akanijbu kuwa bado hajapata nae hana kazi ya kumpatia hela nikamjibu kuwa anisubiri siku mbili hivi nikipata nitampa akanikubalia so kuna siku sina hili wala lile akaja home asubuhi bila taarifa hadi wengne waliponambia kuwa amekuja so kwenda kumcheki anadai anaumwa sana na muda huo ni jioni so I was take easy kwa hilo kwani ameekuwa na tabia hii ya kuja pasi na taarifa nami nilishaongea nae japo hakunielewa.
Baada ya kukaa nae kwa muda mfupi nikamwambia kuwa kuna kazi so anisubiri na asiondoke bila ya kuonana kwani kuna jambo la kuongea,akajibu sawa mimi nikaondoka baadae nampigia simu anajibu ameshaondoka ila imekuwa ghafla.Nikiwa nawaza kichwani mbona hataki tuongee but I was take easy lakini kuna siku nikamwambia kuwa nahitaji uwe mtu wa kueleweka na muwazi ila iwe rahisi kufika malengo tarajiwa akanielewa japo kwa shingo upande.
Siku nazo zikapita tabia ya mtoto wa kike nikawa siielewi so kuna siku nikamtumia sms kuwa nahitaji tuonane hakujibu ila kuna jamaa akaanza kuchati nami na akanitumia namba ya yule binti akiniuliza mwenye namba ile nani wangu nikamjbu kuwa ni best yangu akanambia kuwa yeye ni mke wake ata nyumbani anafahamika,baadae nikampigia simu yule jamaa akanambia kuwa kama alivyonieleza kuwa ni mke wake so niachane nae so nikaona ngoja nimpigie mtoto wa kike, kumpigia akawa anaongea kwa wasiwasi ila tukaongea kidogo nikakata simu,nikiwa bado siamini akanimiss call kumpgia akapokea yule jamaa akinambia kuwa niachane kabisa na mke wake kwani atanipoteza so hadi hivi sasa nipo dilemma kabisa na nimeongea na nduguye wa huyu binti nae hajui chochote kama ndugu yake ameolewa kwani hana taarifa hiyo ndo maana hata mama yake alinifahamu ila binti amekuwa kmya tangu siku hiyo hadi leo wiki ya 3 sasa na hata kuja huku haji na kila akiambiwa aje na nduguye kuja kuyaongea anakwepa.
So ushauri please wadau