Dah inasikitisha

Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,540
7,455
Wote ni umri mmoja ila hali zime tofautiana kwani kuna wanao tafuta Elimu na wanao tafuta maisha,
 

Attachments

  • watoto.jpg
    watoto.jpg
    21.9 KB · Views: 28
ndio hali halisi ya dunia
ajira za utotoni bado ni janga.

pia umaskini ndio chanzo cha watoto kukosa elimu.
uzaz wa mpango utasaidia kupunguza watoto wa mitaani.
 
Back
Top Bottom