Dah Huyu Baba Jamani. Mmh

wala sio yeye wanamuwekelea haya maneno mengi si yake by the way huyu jamaa ni msomi haswaaaa
 
wala sio yeye wanamuwekelea haya maneno mengi si yake by the way huyu jamaa ni msomi haswaaaa

Ni msomi ndio ila si wanasema ukisoma kupita kiasi akili si huanza kuruka mkuu...?
 
Quotes huwa hazinishangazi...waonifurahisha ni waTZ wanaoamini Mugabe kasema hayo maneno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…