We jamaa banaKama nakuona ulivyoanza kuchambana na wanawake wenzio
na ulivyokuwa unagomba na wanawake ulikunja vidole 👌👌👌👌👌👌👌😂😂😂😂kwa jina la salam natumai hamjambo wakuu
wakuu katika maisha yangu nina kasumba ya kua busy na mambo yangu, napenda kuishi vyema na wanaonipenda pia kuwaheshim wanaonichukia, inshort sipendi ugomvi...
mara nyingi nikirudi home nakuta maneno mengi ya majirani kwa wife bt mi namwambia maneno hayaui puuza maisha yaendelee, sasa jana uzalendo umenishinda ikabidi nigombezane na majirani...
sasa leo nimerudi wife wamemwambia "kumbe mumen mkali hivo" kumbe lengo lao walitaka wanijue kua mi mtu wa aina gani.. nimeamini uadui katika maisha hauepukiki hata ufanyeje.
mkuu mambo ni mengi sema huwezi andika kila kituKwa hiyo umegombana na majirani zako kwa sababu ya maneno ya kuambiwa na mkeo au kuna sababu nyingine?
Nimekupata.mkuu mambo ni mengi sema huwezi andika kila kitu
comment pekee inakutafsiri ulivyoKama nakuona ulivyoanza kuchambana na wanawake wenzio
kweli mkuu bila hivo mambo hayaendiKuna wakati inabidi kuonyeaha sura ya kazi kama wanaleta mazoea mazoea.
  🤣🤣🤣🤣🤣duhKama nakuona ulivyoanza kuchambana na wanawake wenzio
Mkuu kama mimi, sipendi mazoe na watu,hasa majiraniHuo muda mnapataga wapi?
Mi huwa naweza kaa mahali hata miaka miwili na nikahama huku sijazoeana wala kuongea na jirani hata mmoja!