Dah, hii sasa ya kangaroo na pig!!

Mmmh mmenipa nyegeee balaa. Maana kangaroo amemkamatia kiti moo balaa it's like hataki ichomoke daah hii habari acha kabisa ndo maana binadamu huwa wanauana.
 
Imagine hiyo crossbreeding itakayotoka hapo

Kama binadamu ndo wamechochea hiyo hali basi watakuwa wamewahasi ili wasitoe new offspring maana linaweza kutoka bomu kama sio new creature ambayo haikuumbwa.
 
Kama binadamu ndo wamechochea hiyo hali basi watakuwa wamewahasi ili wasitoe new offspring maana linaweza kutoka bomu kama sio new creature ambayo haikuumbwa.
Kibaiolojia yai la pig haliwezi kuitambua sperm ya kangaroo, sababu pig na kangaroo hawapo closely related, mfano kama simba na tiger hawa wamesha zaa, au punda na farasi wameweza kuzaa kitu inaitwa mule.
 
Leteni picha zingine hadi mchoke
Kitimoto tunakula km kawa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…