Dah hii ni too much

Dah hii ni too much

Christinah

Senior Member
Joined
Nov 13, 2014
Posts
100
Reaction score
17
Hivi jamani wadau mnadhan Ni kwanini siku hizi suala la akina Dada kupiga pic za utupu kisha kuziweka mtandaoni linazidi kushamiri kila iitwayo Leo
Maana imekua kama fashion
 
Hivi jamani wadau mnadhan Ni kwanini siku hizi suala la akina Dada kupiga pic za utupu kisha kuziweka mtandaoni linazidi kushamiri kila iitwayo Leo
Maana imekua kama fashion

ulimbukeni wa matumizi ya smartphones upo kazini, kazi ikikamilika wataacha tu.
 
hiyo ishakuwa ngumu kuwacontroled na wazazi coz zile simu wengi wao wanahongwa, na hao wanaowahonga ndio wanaowadanganya wapige zile picha.

Ooh kumbe umenifumbua macho aiseeh
 
binadamu tumepewa jukumu la kutawala kwa maana tumevizidi vitu vyote akili ila hawa wazungu wamegundua vitu vingine vimetuzidi akili haya ndio matokeo yake
 
Hivi jamani wadau mnadhan Ni kwanini siku hizi suala la akina Dada kupiga pic za utupu kisha kuziweka mtandaoni linazidi kushamiri kila iitwayo Leo
Maana imekua kama fashion

"Everyone has their moment of madness" by Desire Lizinda
 
Back
Top Bottom