Sergio69 Senior Member Joined Mar 12, 2025 Posts 141 Reaction score 255 Mar 20, 2025 #1 Jamani kuna vitu vingine havipo fea kabisa yaani watu wanachilimika na swaumu mwezi mtukufu huu muda huu kuna wengine wananyanduana huko!
Jamani kuna vitu vingine havipo fea kabisa yaani watu wanachilimika na swaumu mwezi mtukufu huu muda huu kuna wengine wananyanduana huko!
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,761 Reaction score 86,422 Mar 20, 2025 #2 wewe utajua mwenyewe
kiss ov love JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 9,363 Reaction score 16,092 Mar 20, 2025 #3 Sergio69 said: Jamani kuna vitu vingine havipo fea kabisa yaani watu wanachilimika na swaumu mwezi mtukufu huu muda huu kuna wengine wananyanduana huko! Click to expand... Sasa si wao mkuu wewe unaumia nini?
Sergio69 said: Jamani kuna vitu vingine havipo fea kabisa yaani watu wanachilimika na swaumu mwezi mtukufu huu muda huu kuna wengine wananyanduana huko! Click to expand... Sasa si wao mkuu wewe unaumia nini?
Ngiama makanda JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 2,197 Reaction score 3,911 Mar 20, 2025 #4 Ndo shida ya wavaa kobaz anafunga huku anamuwazia ambae hajafunga
N Nikilewa mniache JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 19,301 Reaction score 51,949 Mar 20, 2025 #5 Acha wivu.... Ndio maana hapa Zanzibar tukitafuna hata bublish mnatuona wakosaji
Fund man JF-Expert Member Joined Feb 24, 2021 Posts 4,182 Reaction score 5,605 Mar 20, 2025 #6 Sergio69 said: Jamani kuna vitu vingine havipo fea kabisa yaani watu wanachilimika na swaumu mwezi mtukufu huu muda huu kuna wengine wananyanduana huko! Click to expand... Nawe nenda
Sergio69 said: Jamani kuna vitu vingine havipo fea kabisa yaani watu wanachilimika na swaumu mwezi mtukufu huu muda huu kuna wengine wananyanduana huko! Click to expand... Nawe nenda
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 43,926 Reaction score 104,061 Mar 20, 2025 #7 Dawa ya moto ni moto, mkitoka kunyanduana mnapata kitimoto then mnaenda kuswali.
Bill JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 10,703 Reaction score 11,809 Mar 20, 2025 #8 Sergio69 said: Jamani kuna vitu vingine havipo fea kabisa yaani watu wanachilimika na swaumu mwezi mtukufu huu muda huu kuna wengine wananyanduana huko! Click to expand... Mwezi mtukufu kwa wenye mwezi mtukufu. Kwa wengine ni kazi kama kawaida. Ndivyo dunia ilivyo.
Sergio69 said: Jamani kuna vitu vingine havipo fea kabisa yaani watu wanachilimika na swaumu mwezi mtukufu huu muda huu kuna wengine wananyanduana huko! Click to expand... Mwezi mtukufu kwa wenye mwezi mtukufu. Kwa wengine ni kazi kama kawaida. Ndivyo dunia ilivyo.
majam19 JF-Expert Member Joined Nov 13, 2024 Posts 1,363 Reaction score 1,564 Mar 20, 2025 #9 Sergio69 said: Jamani kuna vitu vingine havipo fea kabisa yaani watu wanachilimika na swaumu mwezi mtukufu huu muda huu kuna wengine wananyanduana huko! Click to expand... Ni jambo ambalo halimpendezi muumba hata kidogo
Sergio69 said: Jamani kuna vitu vingine havipo fea kabisa yaani watu wanachilimika na swaumu mwezi mtukufu huu muda huu kuna wengine wananyanduana huko! Click to expand... Ni jambo ambalo halimpendezi muumba hata kidogo
Mallerina JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 2,696 Reaction score 6,230 Mar 20, 2025 #10 Fea ni nini ata wewe
majam19 JF-Expert Member Joined Nov 13, 2024 Posts 1,363 Reaction score 1,564 Mar 20, 2025 #11 Mallerina said: Fea ni nini ata wewe Click to expand... It's mean hujui ilo neno(...?)?
ledada JF-Expert Member Joined Oct 4, 2015 Posts 17,457 Reaction score 67,409 Mar 20, 2025 #12 Umeskia wivuu mwenyewe
Josaje Mtui JF-Expert Member Joined Oct 1, 2016 Posts 2,468 Reaction score 2,180 Mar 20, 2025 #13 Sergio69 said: Jamani kuna vitu vingine havipo fea kabisa yaani watu wanachilimika na swaumu mwezi mtukufu huu muda huu kuna wengine wananyanduana huko! Click to expand... Na wewe unataka kunyanduliwa!
Sergio69 said: Jamani kuna vitu vingine havipo fea kabisa yaani watu wanachilimika na swaumu mwezi mtukufu huu muda huu kuna wengine wananyanduana huko! Click to expand... Na wewe unataka kunyanduliwa!
Mussa Nzugilwa JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 2,391 Reaction score 4,960 Mar 20, 2025 #14 Kwahio ukifunga wewe, unafikiri na dunia nzima imefunga. Pambana
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,075 Reaction score 111,673 Mar 21, 2025 #15 Maisha ndivyo yalivyo, maigizo n hiyo swaum
grand millenial JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 4,014 Reaction score 5,655 Mar 21, 2025 #16 Ngiama makanda said: Ndo shida ya wavaa kobaz anafunga huku anamuwazia ambae hajafunga Click to expand... Yesu ameingiaje kwenye hii mada?
Ngiama makanda said: Ndo shida ya wavaa kobaz anafunga huku anamuwazia ambae hajafunga Click to expand... Yesu ameingiaje kwenye hii mada?
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 15,876 Reaction score 36,221 Mar 21, 2025 #17 Kwani umenyanduliwa wewe?
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 42,436 Reaction score 50,163 Mar 21, 2025 #18 Sergio69 said: Jamani kuna vitu vingine havipo fea kabisa yaani watu wanachilimika na swaumu mwezi mtukufu huu muda huu kuna wengine wananyanduana huko! Click to expand... Wamevunja sheria namba ngapi?
Sergio69 said: Jamani kuna vitu vingine havipo fea kabisa yaani watu wanachilimika na swaumu mwezi mtukufu huu muda huu kuna wengine wananyanduana huko! Click to expand... Wamevunja sheria namba ngapi?
little master JF-Expert Member Joined Jul 16, 2018 Posts 2,098 Reaction score 3,990 Mar 21, 2025 #19 Nakuhakikishia ungefahamu maana halisi ya kufunga na kwanini ufunge usingekuja kulalamika lalamika humu tatizo mnafunga kutaka kujionyesha kwa watu.
Nakuhakikishia ungefahamu maana halisi ya kufunga na kwanini ufunge usingekuja kulalamika lalamika humu tatizo mnafunga kutaka kujionyesha kwa watu.
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 18,244 Reaction score 34,420 Mar 21, 2025 #20 Mauzo ya kitimoto yameshuka sana tangu tarehe 1 March 2025 mwenye kujua sababu atueleze.