Dah ama kweli dunia hii noma

Mshobaa

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
1,722
Reaction score
692
Hivi huyu jamaa aliyebuni taa ya chemli alikua anawaza nini hadi sehemu ya kuwekea utambi ikawa vile? Na kwa nini alipavimbisha namna ile? Au ukosefu wa mawazo?
 
Inawezekana yeye hakuwaza unachowaza mkuu.
Mimi mwenyewe ndo umenifanya nianze juwaza tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…