Dagaa wa Bukoba

Mgawe777

Member
Joined
Oct 28, 2017
Posts
17
Reaction score
6
Dagaa safi wakukausha toka bukoba debe kumi kwa shilingi 280,000 /=
 
hawa dagaa wako poa sana hawana mchanga, naona huwa wana anikwa kwenye nyasi.
 
WhatsApp me +255676019019 km una uwezo wa kuuza kontela la 20 feet .no advance leta mzigo ulipwe guarantee nakupa ya malipo kwa benki utakayo duniani
 
Jamani hata mimi ambaye anauhitaji na dagaa wa bukoba ani pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…