Dagaa wa Bukoba waliokaangwa

Arista

Senior Member
Joined
Feb 25, 2018
Posts
137
Reaction score
103
Karibuni,tunao Dagaa waliokaangwa toka Bukoba bei yetu ni nafuu tunauza kwa kipimo cha ndoo kubwa ya rangi tsh 50,000 ndoo ndogo tsh 30,000.na kwa bei ya jumla kilo tunauza tsh 7000.karibuni.Tupo mawasiliano simu 0753 145263 na 0624 011463

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Nitakutafuta..dagaa wa bukoba uzuri wake hawanaga mchanga.

#MaendeleoHayanaChama
 
Watu hampumziki..huu msimu wa kuku hao waacheni ziwani..hehehehe
 
Hawa nawapenda sana, unafanya delivery?? Kesho niletee Sinza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…