Dagaa wa Bukoba kwa bei nafuu

Dagaa wa Bukoba kwa bei nafuu

DAGAA WA MWANZA

Senior Member
Joined
Jan 27, 2019
Posts
169
Reaction score
465
Kwa wale Wafanyabiashara wakubwa, wakati na wadogo tunayofuraha kuwatangazia upatikanaji wa dagaa safi kutoka Bukoba.

Sifa za dagaa ni
Wasafi hawana mchanga
Siyo wachachu kama uliyowazoea waliokaa zaidi ya mwezi
Wakubwa
Huitaji kuwaosha zaidi ya mara moja

Kama utakuwa unahitaji utaweka order yako kwa kuwasiliana nasi kupitia namba zetu ni 0622723082 call/sms 0622723082 kwa Whatsapp

Wanapatikana kwa kilo na kwa ujazo wa magunia namaanisha kama utahitaji tukuuzie kwa kupima kilo au kwa ujazo wa gunia vyovyote utakavyopenda.

Tunasafirisha kuanzia gunia 1
Au kilo 40

Bei kwa gunia la dumu 10 ni 230000

TUNAPATIKANA DODOMA NA MWANZA

Kwa wateja wa dar wanaweza kupata kwa kilo maana tumefungua ofisi pia
 
Wa kukaanga mpaka mtu aweke oda kilo 8000 tunaanza kusafirisha gunia moja
 
Mimi sijaelewa hilo debe lina kilo ngapi coz wengine tunauza kwa kilo.na tanga mnapatikana wapi
 
Safi Mkuu...mi Niko Arusha...Nina stoo unaweza kuweka gunia hadi 30 za Dagaa...stoo iko sokoni ,kama yupo mwenye mzigo anataka kuleta Arusha njoo pm, unaweka mzigo wako unauza mwenyewe au nakuuzia Mimi kwa makubaliano rahisi tu...
Maana najua Watu wako mwanza wana mzigo na wanatamani kuleta arusha ila hawana pa kuufikishia.sasa hiyo shida imeisha tuwasiliane stoo utapata ...na pa kuuzia mzigo wako utapata.
Karibu.
 
Mzigo umeingia karibuni
Habari zenu wadau wa J Forum popote mlipo,mie ni mjasilia nauza Sato Tsh 9000 per 1kg na Sangara Tsh 6000 per 1kg.Tupo Mwenge na samaki wetu ni wazuri Sana,Jumla ni kuanzia kilo tano na bei inapungua,Sehemu yoyote Kwa dar tuna deliver,utachangia kidogo ya usafiri.karibu saana tukuhudumie,Contact.. 0767440210.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi Mkuu...mi Niko Arusha...Nina stoo unaweza kuweka gunia hadi 30 za Dagaa...stoo iko sokoni ,kama yupo mwenye mzigo anataka kuleta Arusha njoo pm, unaweka mzigo wako unauza mwenyewe au nakuuzia Mimi kwa makubaliano rahisi tu...
Maana najua Watu wako mwanza wana mzigo na wanatamani kuleta arusha ila hawana pa kuufikishia.sasa hiyo shida imeisha tuwasiliane stoo utapata ...na pa kuuzia mzigo wako utapata.
Karibu.
Kaka, niko Arusha natafuta stoo ya dagaa: 0629 255 667. Naomba tuwasiliane.

Asante sana.
 
Back
Top Bottom