Chief Masta Member Joined Feb 5, 2022 Posts 11 Reaction score 23 Feb 6, 2022 #1 Kama unahitaji dagaa wa Bukoba (Safi, Ya Jua Moja bila Mchanga) nicheki, kilo moja kwa tsh 5,000 Napokea oda kuanzia kilo 60 na kuendelea, muda wowote nicheki kwa namba yangu 0624200275
Kama unahitaji dagaa wa Bukoba (Safi, Ya Jua Moja bila Mchanga) nicheki, kilo moja kwa tsh 5,000 Napokea oda kuanzia kilo 60 na kuendelea, muda wowote nicheki kwa namba yangu 0624200275
Avriel JF-Expert Member Joined Jun 25, 2017 Posts 4,984 Reaction score 5,423 Feb 6, 2022 #2 Unapatikana mkoa gani?
M Medecin Platinum Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,813 Reaction score 24,285 Feb 6, 2022 #3 Naomba niulize kama hutojali, kuna tofauti gani ya dagaa wa bukoba na wa mwanza?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 178,315 Reaction score 196,011 Feb 6, 2022 #4 Ahsante kwa taarifa...
Optimists JF-Expert Member Joined Oct 17, 2021 Posts 458 Reaction score 1,350 Feb 6, 2022 #5 JembeKillo said: Naomba niulize kama hutojali, kuna tofauti gani ya dagaa wa bukoba na wa mwanza? Click to expand... Dagaa wa mwanza ni wadogo wadogo na wanaanikwa kwenye mchanga lakini za bukoba ni kubwa (Nene) na zinaanikwa kwenye nyasi hazina mchanga
JembeKillo said: Naomba niulize kama hutojali, kuna tofauti gani ya dagaa wa bukoba na wa mwanza? Click to expand... Dagaa wa mwanza ni wadogo wadogo na wanaanikwa kwenye mchanga lakini za bukoba ni kubwa (Nene) na zinaanikwa kwenye nyasi hazina mchanga