Dagaa toka Bukoba

KIEMBE

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
109
Reaction score
11
Habari Wana JF.
Nimefungua store ya kuuzaa dagaa Jijini Dar es salaam katika eneo la taliani kama unaelekea chanika.

Dagaa hawa ni wazuri weupe na hawana mchanga, natarajia kuingiza mzigo hv karibuni!!
kama unahitaji mawasiliano zaidi nitafute 0769308154 au 0713847985 tuzungumze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…