Daftari LA kudumu la wapiga kura

Daftari LA kudumu la wapiga kura

kim jung shik

Senior Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
129
Reaction score
23
Jamani nahitaji kujua ratiba ya daftari la kudumu la wapiga kura ratiba yake ikoje niwazi kuwa saahiz tokea tarehe 17 mpka 24 mwezi huu wameanza arusha na Kilimanjaro je sehemu nyingine kama njombe na iringa itakuwa ni mwezi upi au ni tarehe zipi jamani tunahitaj tupate vitambulisho ili tushiriki uchaguz sasa tunawasi wasi zisije ratiba zikavurugika so tunahitaji kujua tarehe ili itusaidie
 
Back
Top Bottom