Daf Truck Cf 85 HP 430 ya 2006 Inauzwa

Daf Truck Cf 85 HP 430 ya 2006 Inauzwa

Bobby

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2008
Posts
2,182
Reaction score
1,898
Habari Wakuu!

Hope nimefanikiwa kuapload picha za hiyo truck ambayo iko sokoni Ina hali nzuri na odometer kama inavyoonesha ni chini ya 400,000 mileage kitu ambacho ni nadra kwa trucks. Mbali ya mileage kwa ujumla gari iko kwenye hali nzuri sana. Gari ii inahitaji 50m Tsh registration included. Kwa lolote kuhusiana na hili pliz nicheck hapa 0754 433932 au 0717 615535.

Karibuni sana!
 

Attachments

Mkuu umerun diagnostics
Na engine vipi haijalowa oil,gearbox na ulling yake vipi.
Dashboard vipi haina error warnings?
Na matairi je
Naweza kuiona wapi.
 
Mkuu umerun diagnostics
Na engine vipi haijalowa oil,gearbox na ulling yake vipi.
Dashboard vipi haina error warnings?
Na matairi je
Naweza kuiona wapi.

Mkuu Masopa kila kitu ulichotaja kipo ok. Tyres ni average na of course kwa gari ya mtumba siku zote tyres za mbele unashauriwa kubadilisha hata kama zinaonekana mpya kupunguza risk ya burst.
 
Hii ipo Tz au UK ambapo itabidi nilipie gharama za kusafirisha?
 
Hii ipo Tz au UK ambapo itabidi nilipie gharama za kusafirisha?

Mkuu Babu ni kweli ipo UK itafika soon but hiyo price inainclude kila kitu (ikiwemo usafiri toka UK). Yanabaki mambo ya insurance na mengineyo ya kiutendaji zaidi. Like I said, ni gari ya uhakika!
 
Mimi sipo kwenye biashara hizo ila nilivutiwa na hiyo bei na mwaka. Nadhani utapata tatizo la kupata mteja.
 
Mimi sipo kwenye biashara hizo ila nilivutiwa na hiyo bei na mwaka. Nadhani utapata tatizo la kupata mteja.

You are right Babu kwa mwaka wa gari na quality ya gari yenyewe, nadhani hiyo bei ni reasonable. Kikubwa tunacholenga kwa sasa ni kubuild name kwenye biashara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom