Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Same to men kama unajijua huna ujasiri usifatilie simu ya mwanamke wako unatafuta nini
Hata siku moja usijidanganye kupekua sim ake hili ni kosa kubwa sana unapekua ili ugundue nini?? Kama sio kutafuta matatizo, kufuatilia kama anachepukaa yanini yote haya?? We fanya yako.
Na kma ukijua anakucheat sasa hapa wewe ndo unatakiwa uongeze mahaba na mapenzi kwake, ujiulize nakosea wapi mpaka anachepukaa???so kuja jf na kulalama tu kama mbwa aliefungiwa.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mpe darasa vizuriJapo ni sawa lakini umekosa ubunifu shoga'angu. Copy & paste hainogi katu........
Sent using Jamii Forums mobile app
NB:wakaze roho sikuiz mwanamke haachwi kwa kucheat hahahahahahSame to men kama unajijua huna ujasiri usifatilie simu ya mwanamke wako unatafuta nini
Hata siku moja usijidanganye kupekua sim ake hili ni kosa kubwa sana unapekua ili ugundue nini?? Kama sio kutafuta matatizo, kufuatilia kama anachepukaa yanini yote haya?? We fanya yako.
Na kma ukijua anakucheat sasa hapa wewe ndo unatakiwa uongeze mahaba na mapenzi kwake, ujiulize nakosea wapi mpaka anachepukaa???so kuja jf na kulalama tu kama mbwa aliefungiwa.
NB:wakaze roho sikuiz mwanamke haachwi kwa kucheat hahahahahah
Mkuki kwa nguruweee povu litawatoka sn
Japo ni sawa lakini umekosa ubunifu shoga'angu. Copy & paste hainogi katu........
Sent using Jamii Forums mobile app
Same to men kama unajijua huna ujasiri usifatilie simu ya mwanamke wako unatafuta nini
Hata siku moja usijidanganye kupekua sim ake hili ni kosa kubwa sana unapekua ili ugundue nini?? Kama sio kutafuta matatizo, kufuatilia kama anachepukaa yanini yote haya?? We fanya yako.
Na kma ukijua anakucheat sasa hapa wewe ndo unatakiwa uongeze mahaba na mapenzi kwake, ujiulize nakosea wapi mpaka anachepukaa???so kuja jf na kulalama tu kama mbwa aliefungiwa.
TUSHIKANE ILA TUSISHIKIANE SIMU😎😎😎Hakuna jambo zuri kama uhuru...sitaki anifatilie wala mie simfatilii
Simu yake yake,yangu yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Same to men kama unajijua huna ujasiri usifatilie simu ya mwanamke wako unatafuta nini
Hata siku moja usijidanganye kupekua sim ake hili ni kosa kubwa sana unapekua ili ugundue nini?? Kama sio kutafuta matatizo, kufuatilia kama anachepukaa yanini yote haya?? We fanya yako.
Na kma ukijua anakucheat sasa hapa wewe ndo unatakiwa uongeze mahaba na mapenzi kwake, ujiulize nakosea wapi mpaka anachepukaa???so kuja jf na kulalama tu kama mbwa aliefungiwa.
Hakuna jambo zuri kama uhuru...sitaki anifatilie wala mie simfatilii
Simu yake yake,yangu yangu
Kwangu anaachika dadaNB:wakaze roho sikuiz mwanamke haachwi kwa kucheat hahahahahah
Mkuki kwa nguruweee povu litawatoka sn
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umetishaSame to men kama unajijua huna ujasiri usifatilie simu ya mwanamke wako unatafuta nini
Hata siku moja usijidanganye kupekua sim ake hili ni kosa kubwa sana unapekua ili ugundue nini?? Kama sio kutafuta matatizo, kufuatilia kama anachepukaa yanini yote haya?? We fanya yako.
Na kma ukijua anakucheat sasa hapa wewe ndo unatakiwa uongeze mahaba na mapenzi kwake, ujiulize nakosea wapi mpaka anachepukaa???so kuja jf na kulalama tu kama mbwa aliefungiwa.
Wewe buni uweke yako.Japo ni sawa lakini umekosa ubunifu shoga'angu. Copy & paste hainogi katu........
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kwetu pia mnaachikaKwangu anaachika dada
Sent from my iPhone using JamiiForums
Yes, mkeo akicheat inabidi ukae chini ujitathmini wapi unakosea urekebishe na umuombee sana. Sio kulia lia kama redio mbovu.NB:wakaze roho sikuiz mwanamke haachwi kwa kucheat hahahahahah
Mkuki kwa nguruweee povu litawatoka sn