Dada zetu ridhikeni basi....

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,513
Wanajukwaa habari zenu,
Nmeamua kushare hii hasa kwa nyie dada zetu msiokuwa na shukrani. Binafsi mimi huwa nagharamia kwakwel madem nlodate nao lazima wanisifie kwa hili nipo vzr.

Na kimchepuko tunaenda 3 months sasa kinasoma Chuo 3rd yr sasa ila kinaomba sana hela dadeki, sahiv shem lenu yupo safar likizo so mda mwingi nakua nae huyu kupunguza uzito.

Hiki kimchepuko nakinunulia gb40 za mwezi ila kinatumia week zmeisha kinaomba tena[emoji23][emoji23]( huwa sitoi mpaka mwezi tena). Nakipa pesa za kusukia, kula, yan hta shem lenu huwa simpi pesa kama hyu ila bado hakiridhiki.

Baada ya kuona hvo nikaacha huduma nikampotezea eti na yeye akakaza[emoji23][emoji23]. Sasa jana ananitafuta anaomba msamaha sana mpaka sasa anasumbua htr before nilimwambia nipo single wkt namtongoza ila jana nimemwambia na mtu wangu kitambo bado anaforce anasema haina shida, nikajua kumbe nilikua nampa matunzo, nachomsifia huyu dada kutoa so mgumu anytime anakupa hapa nampa 100%

Dada zetu kwa sasa kuna mwanaume wa kukupa gb40?? Kuna mwanaume wa kukupa kila unachotaka? Ridhiken jaman.

Happy valentino.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Inategemeana mlianzaje! Kama ulianza kwa kuonesha ufahari, atakuachaje salama?

Lakini pia kwa ke ni kutokuwa na upendo wa dhati kwako. Hata kama anakuona danga. Yeye hajui kama anakufukuza!

Yote kwa yote, tulizana tu kwa mke wako.
Kuwa mvumilivu kwa siku hizi ambazo hayupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanakuja PM wenye uhitaji wa 40 GB....na vile bando zilivyopanda bei

Ungemalizia kutaja huwa unamuunga GB za mtandao gani ili watafute 'line' mapema kama hawana
Ushaenda piemu?
 
Wakuu msitilie maanani anatania huyu wanaume wa hivyo tulishakufa toka vita ya pili mwishoni nimebaki mimi tu![emoji12]

Nakutumia pm proof afu uje ucomment huku


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanakuja PM wenye uhitaji wa 40 GB....na vile bando zilivyopanda bei

Ungemalizia kutaja huwa unamuunga GB za mtandao gani ili watafute 'line' mapema kama hawana

Anatumia voda yeye mama watoto wangu anatumia ttcl


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
So roughly kwa mwezi ulikuwa unampa kiasi gani huyo chicca wa 3rd year??
 
Wanakuja PM wenye uhitaji wa 40 GB....na vile bando zilivyopanda bei

Ungemalizia kutaja huwa unamuunga GB za mtandao gani ili watafute 'line' mapema kama hawana
Haaaahaaa

Nilijua tu hii response haitokosa hapa
 
So roughly kwa mwezi ulikuwa unampa kiasi gani huyo chicca wa 3rd year??

Dem kwel dem mkuu nikipiga hesab za kumtoa out each weeknd, offa za dinner, kusuka, bandos ni nyingi sana tu we mwanaume unajua[emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…