Dada zetu kwenye daladala

Dada zetu kwenye daladala

..wanawake ni maua ya duniani,wache wapambe na sie tusherehekee!ongeza picha zingine

Yuko vizuri kweli hapo sehemu anapoonekana;hebu nipe contacts zake ili nimuulize maswali.Nikiona inafaa ninaipitisha.

<br /

yaan kama mim huwa nakumendea kwel, naweza kukamatwa kama yule mshikaj aliyekuwa akimmendea serena williams(mcheza tennis)

hahaha! Unamendea kivuli. Shauri yako.

Mbona sioni kama kuna tatizo katika ukaaji wake na ata uvaaji wake!!!!!! Ni hisia mbaya tu!!!!!!!!!!!!! Utakamatwa siku moja kupiga picha watu bila idhini yao,ni kosa kisheria.

Back
Top Bottom