Dada zetu jeshini Khaaa..

PHP:
[B][IMG]https://www.jamiiforums.com/images/icons/icon1.png[/IMG] Re: Dada zetu jeshini Khaaa.. [/B]

    proud African lol

mazoezi muhimu kupunguza hohohohooooooooooooooo
 
hahahahaaaaaaaaaaaa,jamani mmeniua na vicheko....wimbo wa taifa tena??
 
Asubuhi supu utumbo na chapati tatu kisha soda coke , mchana punje maharage, nyama, jioni Ugali kitimoto au chipsi kuku...... Hapo hata uwanjani hana ladha kabali kitoto zinakua hakuna.Wadada chek out.
 
Mkuu unaua live!!
 
aaaaaaah,aaaaaah,hii kali hasa kuimba wimbo wa taifa ina maana kuwa hasikii chochote au anataka usimame wima kishimu wimbo wa taifa?
 
aaaaaaah,aaaaaah,hii kali hasa kuimba wimbo wa taifa ina maana kuwa hasikii chochote au anataka usimame wima kieshimu wimbo wa taifa?
 
aaaaaaah,aaaaaah,hii kali hasa kuimba wimbo wa taifa ina maana kuwa hasikii chochote au anataka usimame wima kueshimu wimbo wa taifa?
 
Awe mwanamke au mwanamme kwa maumbo hayo polisi hayafai unasikia mama Brian. Inaonekana wewe ukiambiwa chochote usichokipenda inakuwa mfumo dume.
Kwa tuliwahi kupita majeshini huko, mengi yaliyosemwa humu yana ukweeeeeli sana. Na utaona askari wachache sana wa kiume wanaooa askari wenzao.
Nawasilisha.
 
halafu kama hao eti ndio wanalinda usalama wetu na wanatumika kufanya doria, shape kama hiyo hata kobe si atawapita mbio jamaniiii?sembuse hao majambawazi na vibaka. Nchi yetu hatuko serious katika kila idara
 

heheheheh heheheh! Kwi kwi kwi kwiii! Hiyo kali!
 
Naona kama kabana sana kiaina flani hivi. Mademu wa bongo ndo hapo wamebakia. Ni kutembeza vitengo na kufuga VITAMBI na miili yao mpaka basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…