Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

madada, mmezidi..yaani mpaka naogopa sasa kutongoza maana hakuna hapana..ukichat nae anakupa namba ya simu..mara ukimpigia oohh hatukaribishani..akija geto anamtundika..mara nitumie hela na tigo pesa..ili mradi kero tu..watu kugeuzana ATM hapa mjini mradi matatizo tu..ukienda mahala regularly wanaanza mazoea..yanai mpaka wanagombania kukuhudumia..unaanza kuwachapa weee hadi inanipa wasiwasi..ukimwambia mambo poa, nipe simu yako poa..njoo mahali flani..nakuja...DUUUHH..natamani kupigwa kibuti mwaka huu..

we ujaona pia una makosa km yao?
that we pia ni kicheche km wao so mmekutana muuza na mnunuaji?

sa iweje umnyoshee kidole mwanamke peke yake?
au kwako poa..imeandikwa MWANAUME ANARUHUSIWA KUWA KM MBWA?POPOTE ANAKOJOA?
MJIPANGE ...reptilia nyieeeeeeee
 
mhh dont celebrate my dear...uenda msichana akawa katulia na kufanikiwa kimasomo na kimaisha mpk ukashangaa na wa kiume AKAJA KUWA STUBON ...AKAWA SHOGA...dunia ina meng..walimwengu wamechafuka kaka..so dont say UMEEPUKA KISU KISA UMEZAA WA KIUME AS IF UKIWA NA WATOTO WA KIKE BASI NI MZIGO/SHUGHULI.... cz anythng can happen

nakuombea watoto wako wakue vyema na wakupe faraja uitarajiayo...

Rose baby ndio mana nasema wewe ndio wale waliotulia. Kuna mapungufu lakini, hawana mama. Utapenda kuwa mama yao mdogo tuwakuze wote?
 
kamanda nature was meant sie wanaume tutongoze. Nia ya kutongoza ni kua kulala nae ama kua nae. Inapotokea siku ya kwanza umemjaribu na kakubali hulazi damu ila hurudi nyuma tena!

KUTONGOZA NA KULALA NA KILA MWANAMKE ANAYEKUKUBALIWA UNAPOMTONGOZA NI VTU VWILI TOFAUTI.

mwanaume anayetongoza kila sket inayopta mbele yake pia ni kicheche tu
na hiyo mpo titled kutongoza enn HAKI IYO IMEANDIKWA WAP?
IN UNI DECLARATION OF HUMAN RIGHT?
KWENYE BIBLE?

acha kamba...anayetongoza ovyo na anayegawa ovyo wote sawasawa:A S-fire1:
 
umenikunaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jamana dah

ujinga wa bnadamu bwana yaan yeye haoni km anakosa kulala nae wthn a day yeye anaona mwanamke ndo anamakosa kumkubalia kumpa siku iyo iyo dahh....yaan mentality mgandoooooo ..MWANAMKE NDO MAKOSA ALWAYS YE HAON KOSA LAKE APO....ningekuwa na nguvu mimi ningewachapa watu km awa ahh bas tu:disapointed:

yaan mi hapo ndo ninapochoka!wao kubadilisha wanawake wanaona masifa kweli..kunya anye kuku akinya bata kaharisha..tena unakuta mwanaume mzima anajisifia kubadilisha wanawake ptuuu!!
 
Rose baby ndio mana nasema wewe ndio wale waliotulia. Kuna mapungufu lakini, hawana mama. Utapenda kuwa mama yao mdogo tuwakuze wote?

ok.na mimi ninao 7 kila mmoja na babayao so poa....tutawalea kwa pamoja...ahh noooooooooooo nimegoma..naogopa kukubalia kilahisi utaniona namna gan vp...stakkkk....nooooooo:car: naendelea na safar nkatongozwe mbele
 
yaan mi hapo ndo ninapochoka!wao kubadilisha wanawake wanaona masifa kweli..kunya anye kuku akinya bata kaharisha..tena unakuta mwanaume mzima anajisifia kubadilisha wanawake ptuuu!!

awa dawa yao ni kuwakeketa tu baaaaaas wataacha ubaguzi na udhalilishaji wao :disapointed:
 
Ukitaka mwanamke siku hizi ni wengi nabidhaa ipo kila sehemu wa buree kabisa
ama bei sawa na bure kama vile bidhaa ya maji ya kunywa katika jiji la Dar!
Ukimsalimia tu kalainika, contacts anatoa utadhani anakujua maisha yake yote hadi wanatia aibu.
Kule fb ndio balaa kabisa. Pale kidume ukijipanga ukaweka mark ya wanawake wa kulala nao hata
kama mark yako ni 25 within a month
malengo yako yanatimia. Mnaonana kwa mara ya kwanza na kumramba hapo hapo. Akina dada
badilikeni, mjithamin utu na heshima zenu!
Then mnakuja na lawama kibao kwa akina sie za
kutendwa na vilio kibao. Jiheshimuni tutawaheshim pia.

Aiseee hivi kutoa contacts ndio kujirahisisha???!!!! maana mie contacts zangu namwaga tu hadharani hata wewe naweza kukupa halafu njoo na ***** wako ndio utajua kama najirahisisha.
 
usijali baby, sitarudia kosa. Hebu naomba nisaidie juwajibu hao wengine hawajanielewa na mimi historia yangu nikimuelewesha memba hadi nipate ban!

hahh haahah ....lazima utupie KALUGHA KAZITO PALE KAT?

ahh kwa thread km izi naisi watu wanantafutiaga ban na mie...
 
....we ulomtokea 1st day na ukafanya nae siku hiyohiyo upo sawa?huna kosa?
ndo zenu hizo huna tofauti na anaepaza sauti kulalamika wanawake wanajiuza wakati MNUNUZI NI MWANAUME.aaagggggrrrrr
 
....we ulomtokea 1st day na ukafanya nae siku hiyohiyo upo sawa?huna kosa?
ndo zenu hizo huna tofauti na anaepaza sauti kulalamika wanawake wanajiuza wakati MNUNUZI NI MWANAUME.aaagggggrrrrr

yaan shost mi nachoka kabssaaaaaaaaa.....wanaume kujihesabia haki awajambo...ndo mana ata wakitoka nje ya ndoa ata siku moja awez kukubali kuwa makosa yake daily utasikia ..MWANAMKE NDO KANSABABISHIA NTOKE NJE ahhh ukiuliza y n how atakujibu ahh mwanamke gan kila siku anakuomba ela...dahh yaaan SWALI NA JIBU WALA HAVIKUTAN ATA UGANDISHE NA GLUE.....wana matatizo awa jombaaaaaaaaaaaa zetu
 
madada, mmezidi..yaani mpaka naogopa sasa kutongoza maana hakuna hapana..ukichat nae anakupa namba ya simu..mara ukimpigia oohh hatukaribishani..akija geto anamtundika..mara nitumie hela na tigo pesa..ili mradi kero tu..watu kugeuzana ATM hapa mjini mradi matatizo tu..ukienda mahala regularly wanaanza mazoea..yanai mpaka wanagombania kukuhudumia..unaanza kuwachapa weee hadi inanipa wasiwasi..ukimwambia mambo poa, nipe simu yako poa..njoo mahali flani..nakuja...DUUUHH..natamani kupigwa kibuti mwaka huu..

Hapo kwenye red hapo naona nna tatizo napo.....hivi kwa akili zenu mtu akikupa namba ya simu ndio anataka m-DO???!!!daaahhhh au nyie kila anaewapa namba mnaishia kuwa-DO maana sio bure!na kama ni hivyo basi inasikitisha sana.
Mie kitu cha kwanza kuepuka usumbufu au maongezi kwa muda huo unaonisumbua ni kutoa namba yangu ili usepe fastaaa halafu kinachofuatia utakijua utakapoamua kunipigia......unless niwe nimekupa hiyo namba willingly hapo nitakua mstaarabu sana tuuu.
 
:help::help::A S-key: Kwa hili suala elimu ya kujitambua lazima ipewe mkazo kwa jamii nzima ili kukinusuru kizazi kijacho. Wadada
wengi ni kweli wageza miili yao kuwa mitaji ya kuanzia maisha, mmmmh eti nimegraduate mwakajana lakini
nafanya hii kazi kwa mda ili nipate mtaji wa kuanzisha biashara yangu........... lakini mwishowe inageuka kuwa tabia ya mtu hata akija tulia kwenye ndoa. Kazi kwelikweli......... Lakini na sie wanaume let us take action to stop this kwa kutoendekeza akina dadapoa!:tape::tape::wave:
 
mkuu inabidi usipecify kwanza type ya hawa wanawake na sehemu unakowapata maana sasa scientific data zinahitajika hapa
 
Back
Top Bottom