Dada zangu poleni sana!


hapa mmu si mara kibao mabinti wanasifia madingi sasa si ndo wanafanya kweli
 
Hiyo ni tabia mbaya sana kukaa kwenye daladala na kuanza kutumbulia mijicho simu za watu we inakuhusu nini? personal life ya mtu?
af isitoshe hamfahamiani dats ##@@@@##
 
they never want to learn anything kinachohusu "their river btn" you are just wasting you time!
 
kwanza wewe ni mbea coz inaonekana ulikuwa unachungulia anachoandika mzee wa watu mwanzo mwisho hadi kujua walichokubaliana, ni tabia mbaya, watu kama nyie hamshindwi hata kuwachungulia mama zenu wakioga...seat ya nyuma mwenzio yupo mbele ulionaje looh mwanaume bazazi wewe ushindwe na ulaanike. nawasi wasi ulipitilizwa hata kituo.
 
Unaishi mtaa gan? kazi yako nin?
wacha umbea na kufuatilia maisha ya watu,
jifunze lugha, misili ndo mdudu gani?
 
Hamna kitu nachukia kama mtu kuchungulia mwenzake anachat nini kwenye simu yake, ni ushamba sana!!! we mtoa mada una matatizo ya kisaikolojia, huwezi kuchungulia simu za watu kibwege hivyo au umezoea/ulizoea kupiga chabo wazazi wako usiku??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…