GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,575
- 127,916
- Thread starter
-
- #21
Ushauri huu ni maridhawa.........otherwise atumie ngozi..........
Atumie tu COTTON WOOL.Hi ipo natural sana hivyo haiongezi wala kubadilisha ladha ya Tunda kwani haina kemikali yoyote.Akishaitumia wewe onja tunda na utakubali mwenyewe!
Mh sijawahi waza ina effect kwenye tendo la ndoa kwani akizitumia anapata madhara gani??fungus kuwashwa au nini??
Kuna zile zinaingizwa ndani kwa bibi..ndo zipi?? Nadhani ni nzuri zaidi
Vitambaaa vya khanga ndio bora
Ukitaka kukojoa unaichomoa halaf te unaiingiza au
Preta Umeshaanza Bangi Zako Dada? Hebu Nishauri Kaka Yako GENTAMYCINE Ili Nami Niweze Kumshauri Wifiyo Nisicheze NJE CUP Na Kumsaliti.
Kanga moko?
Kuna zile zinaingizwa ndani kwa bibi..ndo zipi?? Nadhani ni nzuri zaidi
Jamani Dina........kukojoa si ni sehemu nyingine tofauti........
atakuwa ana manisha kukojoa ndani ya kitobo ambacho siyo cha kukujolea.
zipi hizo??????????? sijawahikuziona hizo.
Sasa Ikigotea Humo Humo TUNDANI Itakuwaje? Si Ndiyo Itakuwa Dhahama Zaidi?
mimi nakushauri uulize hao wa nje wanatumia nini then apply kwa huyo uliye nae nadhani hii ni bora kwako kiafya , kiuchumi, kimaadili na hata mungu muumba anakubariki aamen.