GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,449
- 127,624
HQ ni best, salama, na zinamfanya mtu kuwa huru wakati wowote.
mimi nakushauri uulize hao wa nje wanatumia nini then apply kwa huyo uliye nae nadhani hii ni bora kwako kiafya , kiuchumi, kimaadili na hata mungu muumba anakubariki aamen.

Wa nje ndo nyie anawauliza..so toa ushirikiano na Mungu atakubariki.utakuwa umesaidia kuokoa ndoa ya mjumbe hapo
Vitambaaa vya khanga ndio bora
Kuna zile zinaingizwa ndani kwa bibi..ndo zipi?? Nadhani ni nzuri zaidi