Nduka Original
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,012
- 817
"njaa inakusumbua" ha ha ha ha ha haaaaaa dah! Ukiboreka we log in humu ha ha haHivi maswali mengine ni ya kuuliza kweli?Wewe ungefanyiwa hivo ungejisikiaje?
Ama kweli kila mtu amepewa akili lakini uwezo wa kuzitumia hizo akili ndo unatofautisha watu....Wewe ndio kati ya wale wenye akili kama za kunguni...
Kama unampenda sana kuliko mkeo kwanini usimuoe yeye?Unajiumauma!!Na nina wasiwasi vilevile njaa inakusumbua...
Hivi maswali mengine ni ya kuuliza kweli?Wewe ungefanyiwa hivo ungejisikiaje?

he is not serious bhanaUshindwe kuwaza mkeo akijua atajisikiaje....how deep will you hurt her feelings...
unamuwazia huyo mwanamke....
hivi huwa mnakosa nini kwa wake zenu jamani.........
Hivi maswali mengine ni ya kuuliza kweli?Wewe ungefanyiwa hivo ungejisikiaje?
Ama kweli kila mtu amepewa akili lakini uwezo wa kuzitumia hizo akili ndo unatofautisha watu....Wewe ndio kati ya wale wenye akili kama za kunguni...
Kama unampenda sana kuliko mkeo kwanini usimuoe yeye?Unajiumauma!!Na nina wasiwasi vilevile njaa inakusumbua...
Unataka uongeze mtaji wewe si bure....Unataka kuniambia ni kipi cha ziada unachokipata huko ambacho unakikosa kwa mkeo?Kweli mimi pia sina njaa niko vizuri kiasi, nina ka uwezo kangu kazuri tu.
Nilijua wajutia dhambi yako na kuacha kabisa.....lakin wewe unaogopa wanadamu watasema nini????Kazi ipo sana aiseeee
Unataka uongeze mtaji wewe si bure....Unataka kuniambia ni kipi cha ziada unachokipata huko ambacho unakikosa kwa mkeo?
Eti soft approach kha!!!...umelikoroga linywe sasa...Wasi wasi wangu ni reaction yake kwahiyo natafuta soft approach for a beautiful exit
Halafu shost we chill tu life is about taking risks...Huwezi kumdetermine huyo mwandani wake kwa matendo ya wengine...naelewa unajihadhari lakini is better being with someone than dieing lonelyyaani mi hapa ndio huwa nachoka akili na mwili aisee....
nikiwazaga kuingia kwenye ndoa halafu nisikie habari hizi roho hupatwa na baridi
nampatia picha mke wake ndo ukute ni yule Innocent/humble halafu husby ndo hivi
Eti soft approach kha!!!...umelikoroga linywe sasa...
he is not serious bhana
Halafu shost we chill tu life is about taking risks...Huwezi kumdetermine huyo mwandani wake kwa matendo ya wengine...naelewa unajihadhari lakini is better being with someone than dieing lonely
mie huyo...ngoja nikatafute kitanda nilale...sawa besti....endelea tu kunipa moyo....lem be a risk taker
ngoja niwaache uendelee kumshauri Nduka Original kuhusu soft exit/approach