Dada zangu kueni makini

muda si mrefu ntaituma ile niliyokurekodi weee
 
Kapicha mkuu
 
Hamna mimi ni men, wengine dada zetu hadi nawaonea huruma.. kuna moja nliiona ya msichana wa udom yaan duuh!! Yani yule mshkaji wake kaweka jina lake zima la shule sasa si aibu hiyo
Mkuu unadownlodia mtandao gani na mm nione kama ni kweli maaana siku hizi mmekuwa waongo nyie
 
Ivi wakati huo unaipata wapi akili ya kuchukua Video? au mwanamke mzima unakubalije ujinga huo? sijui ni utoto au mie mshamba lakini apana, na mwenyezi mungu annusuru na aibu hiyo mie na kizazi changu na kila Binadamu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…