Dada zangu hii sio sahihi

Ni wazi kwamba wanaume ndio waombaji bt wanawake wanakubali kwa kuhofia mahusiano kuvunjika sasa lipi sahihi kukubali kufumuliwa ile uendelee kuwa na mtu ambaye kwa hakika hana future na ww au kuvunja uhusiano kwa sabubu swala hilo ni hatari kwa afya.Na mbaya zaidi kama mafuta yatatumika vizuri mwanaume anaweza kutumia condoms so yy madhara sio rahisi kupata bt kwa mwanamke itafika mda utaanza kutembea na pampers.Nb ni wanaume wachache sana wanafanya mambo/mchezo huo kwa wake zao au wapenzi wanaojua kua kuna mpango wa kuendelea kuwa pamoja kwa mda mrefu. (Butty nilimaanisha booty).
 
Mtu anayekubali kufanya mchezo huo mchafu kwa kumridhisha mtu mwengine hakika hajitambui.....your body is your own temple!
 
kati ya wasichana 7 kati ya 10 wanashiriki huo mchezo kwa sasa
 
!
!
kadri unavyokemewa ndio unazidi kukolea..... labda kuna faida wanapata kwani hakuna kitu chenye hasara moja kwa moja. Huenda kuna kitu labda hatukujui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…