Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,307
- 40,940
Balabala ni ya UngoZile zinazopita bombadia au ungo?
Balabala ni ya UngoZile zinazopita bombadia au ungo?
Hiyo ni according to you,kuhusu maudhui ya ujumbe wa mada hii
Ahsante mkuu kwa mchango wakoHiyo ni according to you,
According to me wala sikubaliani nayo.
Kuna siku jamaa mmoja alikua anawaza na kunisimulia kuwa ataoa mwanamke wa aina gani?
Akaanza kunipa tabia za alionao...
Wa 1 anapenda pesa : jamaa anasema ye hataki kuombwa ombwa pesa
Wa 2 haombi pesa: jamaa anasema atakua na bwana mwingine anaemhudumia
n.k (nmesema tu hawa wa PESA)
So binadamu hatueleweki kama papuchi, sometimes hatujui nini tunahitaji nini tunataka.
We hupendi kuombwa pesa ila wengine kuhonga ndio hobby.
hujaeielewa hii madaMapenzi hayana formula,we hupendwi kuhonga,yupo mwenzio bila kuhonga roho yake haitulii
unakubaliana na hii mada?Mwanamke akianza na mzinga haipiti sekunde nimeshamblock sipendi ujinga ujinga kabisa
Nimekuelewa vizuri sana,labda umeshindwa kuelewa nilichokiandikahujaeielewa hii mada
kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti, utagundua wachangiaji wengi kwenye hii thread wamesoma ila hawajaelewa namaanisha nini,Eti mtoa thread wewe ni mbahili man. Me nadhani wanakuzushia tu boss kiongozi. Pamoja man 2 man
Kama umeelewa, basi naomba tafuta mtu ambaye hajaolewa jaribu kumchunguza then rudi tena hapa, utakuwa umelipata jibu sahihi.Nimekuelewa vizuri sana,labda umeshindwa kuelewa nilichokiandika
karibuAhsante mkuu kwa mchango wako
ushauri hauna madhara kwa mtu endapo mtu hata ufuata kwa sababu hakuna kipya mtu atafanya.Ushauri mzuri ni vigumu kuupata na haja ukipatikana ni vigumu kuufata hasa kwa mswahili
Ahsantekaribu