Dada zangu badilikeni

Dada zangu badilikeni

mkuu jayec

unahoja nzuri,
Lakini jaribu kuelewa kuwa hoja yangu imejikita kwa upande wetu sisi wanaume,

nkuulize tu swali dogo, unaweza kumuoa mwanamke ambaye siku ya kwanza tu unamtongoza anakuomba pesa?

NB: Kuoa na sio kutoka nae kimapenzi tu
Mkuu me nimesimama kwenye neutral, ndo maana nikatanguliza kuwa wanawake ni viumbe watata sana.
Huyo huyo unayemdhania hafai baada ya kukupiga kizinga cha mwendokas ndo huyo huyo atakayeweza kukufaa.
Hawa viumbe ni dynamics
 
Unaharibu lugha yangu!
it is true though it is ruined enough due to its repuginitious tolecentrism whose reminiscent can not be theotropistically analysed by the use of reminiscent excarbation.
 
it is true though it is ruined enough due to its repuginitious tolecentrism whose reminiscent can not be theotropistically analysed by the use of reminiscent excarbation.
Excarbation = Exacerbation [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom