Dada yangu simuelewi

Dada yangu simuelewi

estlyjonathan

Member
Joined
May 26, 2016
Posts
84
Reaction score
122
Habari zenu wadau,

Hii itakuwa mara yangu ya mwanzo na ya mwisho kuandika hii stori.... kama mnakumbuka niliwaambia hii stori kuhusu kaka wa kitanga shoo yake ilivyokuwa usiku mmoja muendelezo uko kama ifuatavyo;

Jumapili ya juzi nilipigiwa simu na dada kama kawaida alikuwa anahitaji niende kwake na kweli nilifanikiwa kwenda na huyu kaka alinisisitza niende nikafanya hivyo nilivyoenda nilivaa nikapendaza mno, kama kawaida yangu alinikumbatia na kunisalimia tukapiga stori na kuniambia kuwa huwa ananifwatilia sana pindi ninapoendaga out kila jumamoc na huwa anawapigia simu watu wake kama nilifika eneo la tukio ikabidi nishangae ananiambia kwa nini simpigii cm na wala simtafuti?

Ikabidi nimwambie ukweli kuwa anacheza na akili yangu na nimeshamgundua siku hiyohiyo ya jumapili akaomba tutoke out mimi yeye na dada yangu pamoja na shemeji na kweli tulitoka tulicheza na kunywa ila aliniomba tukacheze siku hiyo niligoma kucheza nae na ghafla ilipofika saa 4 usiku kuna mtu alinipigia simu mbele yake sikupokea alinikata jicho... ila akuuliza chochote ila baada ya nusu saa aliomba tuondoke nyumbani nikahic labda huenda simu iliyopigwa ila sikuwa na uhakika...

Kwa upande wa dada yangu kwenye kupiga stori aliniambia kuwa anatamani mimi na yule kaka tuwe pamoja na akaniomba mnizalie ili tu tutengeneze ukoo...

Ila kilichonipeleka mpaka kuandika hapa ni mara ya kwanza huyu kaka tulivyodate na show ya kibabe ilivyotokea baina yangu mimi na yeye nilitokea kumpenda au kumtamani nilikuwa namuwaza takribani siku 3 baada ya hapo hiyo hali ilipotea sasa juzi napigiwa simu nakutana na huyo kaka tena mpaka tukatoka out hiyo hali imejirudia tena ila nilichomwambia dada yangu next time asinipigie tena simu endapo yule kaka atakuwepo pale kwake sihitaji kumwona tena machoni mwangu napata tabu mana nilishamsahau lakini dada yangu anapenda sana niwe na mahusiano nae.

Na hii tabia ya kunifwatilia sehemu ninayoenda kwenye band na kuwaulizia watu kama nimefika pale kama nimeenda na mwanaume au mwanamkee mwenzangu pananifanya hata nisitamani kwenda tena sasa najiuliza ana maanisha nini?

Nilimuuliza kama ananipenda aliniambia ndio, ila hatuna mawasiliano yoyote na mimi niliamua kufuta namba yake ili lisije likatokea lolote mana najijua nikimpenda mtu huwa napenda kweli na mimi kwa hili la kumpenda siko tayari kwa sasa.

Embu mnisaidie jamani hata kimawazo kuhusu huyu kaka wa kitanga.
 
Njoo kwangu nahakika hutonipenda ila utavilia kuishi na kibamia changu....👊👏🙅
 
Habari zenu wadau,

hii itakuwa mara yangu ya mwanzo na ya mwisho kuandika hii stori.... kama mnakumbuka niliwaambia hii stori kuhusu kaka wa kitanga shoo yake ilivyokuwa usiku mmoja muendelezo uko kama ifuatavyo;

Jumapili ya juzi nilipigiwa simu na dada kama kawaida alikuwa anahitaji niende kwake na kweli nilifanikiwa kwenda na huyu kaka alinisisitza niende nikafanya hivyo nilivyoenda nilivaa nikapendaza mno, kama kawaida yangu alinikumbatia na kunisalimia tukapiga stori na kuniambia kuwa huwa ananifwatilia sana pindi ninapoendaga out kila jumamoc na huwa anawapigia simu watu wake kama nilifika eneo la tukio ikabidi nishangae ananiambia kwa nini simpigii cm na wala simtafuti?

ikabidi nimwambie ukweli kuwa anacheza na akili yangu na nimeshamgundua siku hiyohiyo ya jumapili akaomba tutoke out mimi yeye na dada yangu pamoja na shemeji na kweli tulitoka tulicheza na kunywa ila aliniomba tukacheze siku hiyo niligoma kucheza nae na ghafla ilipofika saa 4 usiku kuna mtu alinipigia simu mbele yake sikupokea alinikata jicho... ila akuuliza chochote ila baada ya nusu saa aliomba tuondoke nyumbani nikahic labda huenda simu iliyopigwa ila sikuwa na uhakika...

kwa upande wa dada yangu kwenye kupiga stori aliniambia kuwa anatamani mimi na yule kaka tuwe pamoja na akaniomba mnizalie ili tu tutengeneze ukoo...

ila kilichonipeleka mpaka kuandika hapa ni mara ya kwanza huyu kaka tulivyodate na show ya kibabe ilivyotokea baina yangu mimi na yeye nilitokea kumpenda au kumtamani nilikuwa namuwaza takribani siku 3 baada ya hapo hiyo hali ilipotea sasa juzi napigiwa simu nakutana na huyo kaka tena mpaka tukatoka out hiyo hali imejirudia tena ila nilichomwambia dada yangu next time asinipigie tena simu endapo yule kaka atakuwepo pale kwake sihitaji kumwona tena machoni mwangu napata tabu mana nilishamsahau lakini dada yangu anapenda sana niwe na mahusiano nae.

na hii tabia ya kunifwatilia sehemu ninayoenda kwenye band na kuwaulizia watu kama nimefika pale kama nimeenda na mwanaume au mwanamkee mwenzangu pananifanya hata nisitamani kwenda tena sasa najiuliza ana maanisha nini?

Nilimuuliza kama ananipenda aliniambia ndio, ila hatuna mawasiliano yoyote na mimi niliamua kufuta namba yake ili lisije likatokea lolote mana najijua nikimpenda mtu huwa napenda kweli na mimi kwa hili la kumpenda siko tayari kwa sasa.

embu mnisaidie jamani hata kimawazo kuhusu huyu kaka wa kitanga.
Sijaelewa kitu.......hebu rudia kuandika upya!
 
Mhh nyie mnasoma kwa haraka sana..ila nimemuelewa ....Mtoa mada analazimishwa na dada yake kutembea na jamaa ambaye hamtaki

Lakini mtoa mada keshagegedwa na huyo msela, na ali elewa shoo
 
acha kuuza uchi
 
Sema una mabwana wawili unachepuka huku unajiogopa
 
Back
Top Bottom