Ahsante sana J, Mungu hukufunulia Makuu kupitia matatizo. Hakika ashukuriwe yeye mwenyewe.Pole sana compact kwa kumpoteza mama yakoo,,,pia hongera sana kwa kutambua umuhimu wa dada yako ambaye ni zaidi ya mamaaa
Happy mother's day!!!!
AminaaaAhsante sana J, Mungu hukufunulia Makuu kupitia matatizo. Hakika ashukuriwe yeye mwenyewe.
Mkuu hiyo hali yako haiwezi kufutika kamwe na uchungu wake hauelezeki.Usilie mkuu. Wamama ni watu wengine kabisa. Ndio maana tulipewa mbegu ila kazi ya utunzaji akapewa mama. Na risks zote anazibeba yeye
Waache tu waitwe wamama
Mpende sana sana Dada yako, MUNGU ni mwaminifu sana sana, mlango mmoja ukifungwa MUNGU anafungua Mlango mwingineYanaumiza sana Mkuu. Huwa haisauliki kabisa. Mungu wetu ni Wa Rehema, hutuinua zaidi kwa namna anayojua yeye.
Hata hivyo, hatujawasiliana muda mrefu.
daahhh!pole na hongeraAhsante sana Mkuu, hakika Mungu na amzidishie Baraka.
Ni hali ngumu sana Mkuu. Nimezoea kumuita mama. Alitangulia kuwa mama kabla hajawa dada.Aisee, kwa upendo huo mtu unashindwa hata kumuita Dada kwani moyo wako unahisi utamshushia hadhi yake! Hongera sana!!
Wamebadili Id.Hawa members wamepotelea wapi??