Dada yangu ni Mama Yangu

Pole sana Mkuu. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi.
[emoji1431][emoji1431][emoji1431]

 
Pole sana Mkuu. Mwenyezi Mungu kakujalia kumpata mama mwingine ambaye pia ni dada yako aliyekulea vizuri hadi kufikia hapo ulipo. Happy Mother's Day to your very considerate, caring and down to earth Sister.
Ahsante sana Mkuu. I appreciate and will deliver your wishes to her. Thanks in advance Mkuu.
 
Reactions: BAK
Nimeguswa sana na hii habari. Hongera kaka. Kubwa ni kumuombea kwa Mungu Dada Mama yako ili awe na maisha marefu ya hapa duniani. Zaidi zana kumuombea Marehemu Mama ili huko aliko, apate pumziko la Milele na Mungu wetu mwenye huruma ampunguzie adhabu ya Kabri. Amen!
 
Amen. Naamini sasa anacheza na kuburudika na malaika huko alipo. Mama-dada aendelee kuishi maisha marefu na yenye kumpendeza Mungu.
 
Big up mr compact, sasa ujue nini mkuu, "unapaswa kumuheshimu, kumjali na kumdhamini kuliko kitu chochote kwenye hii dunia. Ni hayo tu mr compact.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…