Dada yangu ni Mama Yangu

I am proud of motherhood, I really feel happy when he call 'mama'. Although I live away from him but I still love my son.
I love my mom, she took care of me and now my son.
I love you my son, I will be back soon, stay safe with Bibi.
 
Pole kwa yote mkuu.
Ongera sana kwa dada kwa kulinda hazina ya kizazi cha familia yake.
 
Hongera Compact kwa bahati uliyoipata lakini hongera zaidi kwa ku appreciate zawadi ya Dada yako toka kwa Mungu. Mungu hamtupi mja wake!
 
Happy mothers day. Mwenyezi mungu mlinde mama yangu nampenda sana.

Pia mungu mlinde mama mzaa mpenzi wangu, mama L asante kunizalia mwanaume nimpendae zaidi
 
Pole sana Mkuu MUNGU wetu ni wa upendo uwezo wake hauna mipaka kabisa
 
Nyie mnaoquote uzi mnatuchosha kwani hamuwezi kuandika tu bila quote, nitakuwa nakuja na fimbo huku sasa ala!
Leo siku yenu (assuming ni mama sasa), usilete fimbo ila ongea kwa upendo wanakusikia. Hivi simu zenu haziandiki click for more?
 
Duuuh Mpaka Imeniliza, Kweli Mungu Ni Mwema, Pole Sana Mkuu Na Hongera Kwa Sister Kuplay Part Yake Vizuri Kama Mama!!
 
Inasikitisha mkuu kwa kuondokewa na mama. Apumzike kwa amani na Mungu aendelee kumbariki dada/mama yako mwingine.
 
Duuuh Mpaka Imeniliza, Kweli Mungu Ni Mwema, Pole Sana Mkuu Na Hongera Kwa Sister Kuplay Part Yake Vizuri Kama Mama!!
Usilie Mkuu. Furahia kuwa nilimpata mwingine aliyenifanyia vyote ambavyo mama angelifanya, nampenda sana Mama-Dada yangu.
 
Kusema ukweli chozi limenitoka,Pole Sana mkuuu,
Ahsante sana Mkuu. Am okay with that. Nimeyapata mapenzi stahiki kabisa kama ambavyo mama angelinipa.

Futa machozi, Songa Mbele.
 
Reactions: BAK
Pole sana Mkuu. Mwenyezi Mungu kakujalia kumpata mama mwingine ambaye pia ni dada yako aliyekulea vizuri hadi kufikia hapo ulipo. Happy Mother's Day to your very considerate, caring and down to earth Sister.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. [emoji1431][emoji1431][emoji1431]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…