U Uchunjuba Punjubi JF-Expert Member Joined Jul 1, 2017 Posts 799 Reaction score 624 Feb 25, 2018 #121 Kwani alitakiwa amjibu vipi, maana kajibiwa ipasavyo ati
HOPECOMFORT JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 3,926 Reaction score 6,671 Feb 25, 2018 #122 Mavipunda said: nasikia wanaijeria wanamaumbile makubwa ya viungo vya uzazi vya kiume.. je ni kwweli Click to expand... Kawajaribu
Mavipunda said: nasikia wanaijeria wanamaumbile makubwa ya viungo vya uzazi vya kiume.. je ni kwweli Click to expand... Kawajaribu
venine JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 1,458 Reaction score 1,571 Feb 25, 2018 #123 Cham Bee said: View attachment 699566View attachment 699567Napata wasiwasi sana juu ya majibu ya huyu mwanadada ambaye alikuwa ni mfano wa kuigwa. Click to expand... Sijafahamu unapata wasiwasi gani na majibu yake. Jide alikuwa sahihi, ume screenshot majibu yake na kuyabandika ukutani kama alivyo predict.
Cham Bee said: View attachment 699566View attachment 699567Napata wasiwasi sana juu ya majibu ya huyu mwanadada ambaye alikuwa ni mfano wa kuigwa. Click to expand... Sijafahamu unapata wasiwasi gani na majibu yake. Jide alikuwa sahihi, ume screenshot majibu yake na kuyabandika ukutani kama alivyo predict.
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,892 Reaction score 52,491 Feb 25, 2018 #124 Hahahaaa daaah
Mr Miller JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 11,448 Reaction score 25,833 Feb 25, 2018 #125 witnessj said: Mbona kamjibu poa huyo kidudumtu.. Click to expand... Halafu wamechokoza wenyewe hapo.....binadamu bwana![emoji20]
witnessj said: Mbona kamjibu poa huyo kidudumtu.. Click to expand... Halafu wamechokoza wenyewe hapo.....binadamu bwana![emoji20]
flagship JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 1,641 Reaction score 1,189 Feb 26, 2018 #126 Mr Miller said: Halafu wamechokoza wenyewe hapo.....binadamu bwana![emoji20] Click to expand... Walikuwa wanataka kupima kiwango cha stress zake.
Mr Miller said: Halafu wamechokoza wenyewe hapo.....binadamu bwana![emoji20] Click to expand... Walikuwa wanataka kupima kiwango cha stress zake.
Idimi Platinum Member Joined Mar 18, 2007 Posts 15,666 Reaction score 11,754 Feb 26, 2018 #127 ras jeff kapita said: Marioo kivipi wakati jamaa anapiga kazi Clauds ama hili neno "marioo" lina maana pana zaidi? tusaidie mkuu Click to expand... Hata mie nashangaa. Gardner ana kazi yake, iweje aitwe Marioo?
ras jeff kapita said: Marioo kivipi wakati jamaa anapiga kazi Clauds ama hili neno "marioo" lina maana pana zaidi? tusaidie mkuu Click to expand... Hata mie nashangaa. Gardner ana kazi yake, iweje aitwe Marioo?
mayowela JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 2,125 Reaction score 1,757 Feb 26, 2018 #128 umri pia umesogea angeacha muziki, akafanya mambo mengine.. maana hata miradi yake sidhani kama inaenda poa.. mwanaume mwanaume tu
umri pia umesogea angeacha muziki, akafanya mambo mengine.. maana hata miradi yake sidhani kama inaenda poa.. mwanaume mwanaume tu