Kiziwanda chema
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 289
- 478
- Thread starter
-
- #21
Kwann wakusini huwataki mkuu, wananiniMimi nna shida na kijana wa kiume awe na 18-20 kazi kubwa ni kubaki na nyumba usafi/kupika chakula hususan cha kwake mambo yote kwangu mshahara ni 50,000/= naitaji zaidi wa kutoka Iringa na mbeya,kusini siwaitaji.
Washanizingua mno maneno mengi sanaKwan
Kwann wakusini huwataki mkuu, wananini
Sawa mkuuWashanizingua mno maneno mengi sana
Nilidhani yupo Dar tungewasiliana,kumbe yupo MoshiHabarini
Husika na mada tajwa.
Dada yangu anatafuta kazi ya kufanya ya kujipatia ridhiki, iwe dukani, stationery, au nyingine yoyote halali ya kujipatia kipato halali.
Hachagui kazi Hata kazi za ndani yupo tayari endapo mtakubaliana.
Kwa sasa anapatikana Moshi mjini, umri ni kati ya miaka 19 hadi 25.
Kwa mawasiliano zaidi
Nipigie 0767775726
Nikupe taarifa zaidi
Uwe serious please.
yupo hapa darBado ila nimehaidiwa sehemu kama mbili hivi,huyo wako yupo hapa dar?au ndo zile habari za kuambiwa tuma naul?
yupo hapa dar
Jinsia yako ipiMimi nna shida na kijana wa kiume awe na 18-20 kazi kubwa ni kubaki na nyumba usafi/kupika chakula hususan cha kwake mambo yote kwangu mshahara ni 50,000/= naitaji zaidi wa kutoka Iringa na mbeya,kusini siwaitaji.
Iringa na Mbeya zipo kaskazini mkuu?Mimi nna shida na kijana wa kiume awe na 18-20 kazi kubwa ni kubaki na nyumba usafi/kupika chakula hususan cha kwake mambo yote kwangu mshahara ni 50,000/= naitaji zaidi wa kutoka Iringa na mbeya,kusini siwaitaji.
Nlichanganya kidogo mkuuIringa na Mbeya zipo kaskazini mkuu?
Mbna nilishajibu mkuu, ana miaka 22Yaan mtu anatafuta kaz halafu umri wake hutak kuu disclose
Edit kwenye post yako pale mwanzon kuepusha maswal ya mara kwa mara.Mbna nilishajibu mkuu, ana miaka 22
DoneEdit kwenye post yako pale mwanzon kuepusha maswal ya mara kwa mara.
GreatDone
Zangu, nicheck ukiwa serious nikuunganishe nae yuko hapa DarNamba zako au zake?
Kwanini usitoe namba zake moja kwamoja, kwani unadhani humu watu hawapo serious? Japo fake wapi pia,Zangu, nicheck ukiwa serious nikuunganishe nae yuko hapa Dar
Kuwa serous basHuu mtego huu...we piga hiyo namba then baada ya muda angalia nyuma utaona "Nissan nyeupe" ina kuja polepole