Dada yangu anatafuta Kazi

Sio vibaya hata ukisema ni wewe ndiye unaetafta kazi na sio kusingizia dada yako
 
Weka picha ya dada yako ili tujue isije kuwa unajipigia pande
 
Mm kwel cjakuelew umri 19-25 nan mweny huo umri ni dadako au unataka huyo boss atakaye mwajir awe na huo umri?
 
Mimi nna shida na kijana wa kiume awe na 18-20 kazi kubwa ni kubaki na nyumba usafi/kupika chakula hususan cha kwake mambo yote kwangu mshahara ni 50,000/= naitaji zaidi wa kutoka Iringa na mbeya,kusini siwaitaji.
 
Mkuu ushampata huyo Kijana kama bado ni pm yupo Kijana wa kigoma.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…