Dada wa Saloon ananiletea wanawake

Wenzako tunasifiwa kwa kuwa bize kutafuta pesa,wewe unaona sifa kucfiwa kwa uzinzi.
 
5 times bigger....!!!??? Konda kabla hujachukua nauli nishushe.....
 
Promo@ work by the way endelea kuwapa dozi si wanajileta wenyewe na kumnyima mtu kitu unacho sio vizuri
 
Hahaha huyu jamaa anapenda sifa za kijinga!! Hahaha eti alinibembeleza sana...
 
sijaelewa je unataka kujisifia kwa hicho ukifanyacho....?
jamaa jiangalie
au ujiandae.....
 
Mwizi siku zake 40 naomba serikali iyongeze iwe 70..
Nishaanda kibiriti 😡
 
''mashine yangu ni amazing almost 5 times bigger than her hubby's''
embu twende kwa hesabu za darasa la tano
Tufanye mashine ya jamaa unamchukulia mkewe ina urefu ''x''
Hii ina maana kuwa mashine urefu wa mashine yako ni ''5x''

Sasa tukisie urefu wa mashine ya huyo unayemlia mke ni inchi 4 tu kwa kiwango cha chini(NI AGHALABU KUMKUTA MWANAMUME MTU MZIMA MWENYE uume wa INCHI 4 wengi wana wastani wa inchi 6 mpaka 7)

Hii ina maana kuwa urefu wa machine yako ni 4 X 5 = INCHI 20

Kwa kuwa wengi mnatumia metric system hii ngoja niweke kwenye sentimita ili tuelewane vizuri

Inchi 1 = sentimeta 2.54

Kwa kuwa mleta mada atakuwa na inchi 20 hivyo basi;

ana uume wenye sentimeta 2.54 x 20 = sentimeta 50 ( hii ni ruler kwa wa wale tuliosoma zamani)

urefu wa karatasi ya A4 NI SENTIMETA 29.7 HIVYO UUME WA HUYU MWENZETU UNAZIDI UREFU WA A4 kwa zaidi sentimeta 20.3

Badili namba kadili upendavyo maana hata kama jamaa ana mashine ya inchi 2 kitu ambacho hakiwezekani bado itakuwa ngumu kwa hii habari ya '' 5 times bigger''
 
We jamaa ni uongo? Au hesabu ujui? Five times!

kuna siku mwenye mke atakuuliza chagua kufa au kuolewa sijui umejipangaje kwenye hilo!
 
inawezekana uko cheap kwao na ndo maana hawaishi kukuandama. unadhan hapo mtaan kwako wewe ndo unaweza game kuliko wanaume wengine? tuliza akili ufikirie tena!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…