Eti mashine yako ni almost 5 times bigger than that of her hubby. Hivi ulisoma hesabu hata ya la kwanza tu? Maana kama ni mara tano zaidi, hiyo itakuwa ni kama ya tembo.
"game lako"
kila la heri endelea kutembeza hilo game
ndo jamaa analitembeza kwa wanawake wa saloon hilo game lakeUnamfahamu Charlie Sheen; huyu ni muigizaji MAARUFU HUKO MAREKANI AMBAYE ALIKUWA NA GAME KAMA LAKO, SASA HIVI ANA UKIMWI!!!
Jogging huh? I can dig that. Nisubiri.Umeshatoka kwaya? Mi naenda jogging, u can join.
Mke wake ndio muongo coz yy ndiyo aujuae ukweli.who knows maybe mme wake kajaaliwa km kidole cha mwisho
Eti mashine yako ni almost 5 times bigger than that of her hubby. Hivi ulisoma hesabu hata ya la kwanza tu? Maana kama ni mara tano zaidi, hiyo itakuwa ni kama ya tembo.
pika tena korogaaaaaa kijana huo ni mwiko, na kamwe mwiko hauchagui sufuria wala chunguLaiti ungejua hata mm sipendi lkn inafika wkt ht mm nashindwa naamua niwapatie tu wanachokitaka.
Kwani hii ni kama mwiko tu wa kupikia kila anaetaka kupikia anapikia tuu.
totally nonsense. mnafungua lini shule? hadithi nyingine bana! I fail to understand them. kuandika utumbo wote huo huna kazi ya kufanya? shame upon you.
Huu ni ujinga mputu
wakati nime balehe baba yangu alinipa wosia kwamba nisitembee na mke wa mtu katika hii dunia kwani mumewe akigundua hata kama wewe utaachana kabisa na huyo m/mke ila mme wake hatakuwa na imani nae tena na mateso chuki ugomvi na mifarakano utakaowapa hao wawili vitakurudia wewe na familia yako mara 10 zaidi.
Usijisifu kutembea na mke wa mtu utakuja kujuta hata kwa nini mama yako alikuzaa katika hii dunia
Eti mashine yako ni almost 5 times bigger than that of her hubby. Hivi ulisoma hesabu hata ya la kwanza tu? Maana kama ni mara tano zaidi, hiyo itakuwa ni kama ya tembo.