Dada wa kusambaza vitabu anahitajika

Replies

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,497
Reaction score
453
Hi wadau ANAITAJIKA dada wa kusambaza vitabu mikoani,aliye tayari ani PM.
Awe kufanya kazi Maeneo yoyote,mshahara ni MAELEWANO
Awe form 4 at least sio more than that wakuu
 
Kwanini mdada si na mtu yeyote mwenye uwezo
 
It's basically a customer care oriented job and its there to empower women,that's why it's Gender based
 
oya tunaku pm wapi????? weka data zako mkuu kukufuata inbox na hiki kisimu ni mwaka huo....vigezo viko kibao hapa...
 
oya weka namba ya simu ili iwe rahisi zaidi,afu unavyosema maelewano unamaanisha nini?be specific atleast tupe hata minimum salary yako
 
Wewe huelewi maana ya PM
 
Hi wadau ANAITAJIKA dada wa kusambaza vitabu mikoani,aliye tayari ani PM.
Awe kufanya kazi Maeneo yoyote,mshahara ni MAELEWANO
Awe form 4 at least sio more than that wakuu
oK CALL 0717927771 UPATE UYO DADA. Au umeshapata?
 
Thanks amepatikana tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…