DADA WA KAZI

DADA WA KAZI

filis

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2017
Posts
323
Reaction score
263
Habari yenu ndugu natafuta dada wa kazi za ndani awe bint kuanzia miak 18-22 ,sina mtoto naishi kweny nyumb yangu mshahara ni alfu arobaini
Lengo la kusaka dada wa kazi ni kwamba nachoka kufany kaz za kazn na nyumbn pia nachelew kulud nyumbn
Kaz za apa ni kufyagia,kupika kulisha kuku basi
Nguo za Mr nafua mwenyew ata zangu
Tuwasiliane inbox
Asante
 
Alfu ndo nini?
Kulud ndo nini?
Kufyagia ndo nini?

Mkuu unatoka Eneo moja mkulu ama?
 
Mi niko tayari kukufanyia free of chaji
 
Habari yenu ndugu natafuta dada wa kazi za ndani awe bint kuanzia miak 18-22 ,sina mtoto naishi kweny nyumb yangu mshahara ni alfu arobaini
Lengo la kusaka dada wa kazi ni kwamba nachoka kufany kaz za kazn na nyumbn pia nachelew kulud nyumbn
Kaz za apa ni kufyagia,kupika kulisha kuku basi
Nguo za Mr nafua mwenyew ata zangu
Tuwasiliane inbox
Asante
Kwa uandishi huu Jiandae kuja kuchukuliwa mume tu hamna cha ziada.
 
Back
Top Bottom