Dada wa kazi

Dada wa kazi

Big5

Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
34
Reaction score
14
Habari za mchana wanandugu,
Ninahitaji mdada wa kazi ambaye yupo tayari kuja kufanya kazi za nyumbani na kuishi Arusha mshahara tutaelewana Mimi na yeye.
 
Kazi gani? Kazi za nyumbani ni nyingi.... hebu ziweke wazi hapa
 
Habari za mchana wanandugu,
Ninahitaji mdada wa kazi ambaye yupo tayari kuja kufanya kazi za nyumbani na kuishi Arusha mshahara tutaelewana Mimi na yeye.
Embu pambanua vzr
 
Habari za mchana wanandugu,
Ninahitaji mdada wa kazi ambaye yupo tayari kuja kufanya kazi za nyumbani na kuishi Arusha mshahara tutaelewana Mimi na yeye.
Watafute hawa watu Reliable house maid company 0746 216 937. Wako arusha mimi wamenisahidia sina stress na maid kabisa kwa sasa.
 
Habari za mchana wanandugu,
Ninahitaji mdada wa kazi ambaye yupo tayari kuja kufanya kazi za nyumbani na kuishi Arusha mshahara tutaelewana Mimi na yeye.

Weka kapicha mkuu tuone unataka mwenye muonekano upi
 
Mkuu kwani lazima awe mwanamke? Kama si lazima basi nichukue mimi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom