Dada wa kazi analeta Kizaazaa na Mkanganyiko

Joined
Jul 28, 2012
Posts
69
Reaction score
103
Habari wanajamvi, bila shaka ni wazima kabisa... Moja kwa moja twende kwenye Mada.

Mke kaamua kuleta dada wa kazi nyumbani ili amsaidie kazi ya kulea mtoto. Jambo ambalo nililipinga kwa kiasi kwani binafsi nimekua sehemu sana ya kusaidia kazi hizo na sikuona huo umuhimu wa dada. Siku zikasonga dada akakaribishwa nyumbani na kukabidhiwa majukumu yake.

Dada uyu anafanya kazi zake vizuri bila shaka wala wasiwasi. Mimi kazi zangu ni mtu wa kusafiri sana, ivyo naweza kaa uko siku nyingi au pia kukaa nyumbani siku kiasi.

Sasa dada uyu ameshakua mzoefu hapa nyumbani... Ananipa huduma za kama mfanyakazi wetu vizuri kabisa. Zaidi ameanza kuonyesha kuwa anataka ule zaidi ya ukaribu.

Ikabidi nimweke wazi wife ambaye mara nyingi hayupo nyumbani... Yaani huwa tunabaki mi na dada tu ukitoa masaa mawili ya juma pili. Kipindi ambacho huwa masaa machache tunakua wote nyumbani.

Mke ataki kusikia ushauri wowote unaohusiana na dada uyu na ataki swala la kuondoka kwake. Yeye amekua kiguu na njia majukumu yote ni kwa dada. Dada huyu uyu ninaewaambia. Sasa wanajamvi changamoto kama hizi mnazivuka aje

1. Dada anajua nguo ninazozipenda wife hamna kitu
2. Ashajua kuvaa kangha moja
3. Mitego anaitega hasaaaa
4. Vijinyimbo ivyo nawekewa
5. Jamani na mimi ni mtu, nina ngozi, masikio, pua, ulimi na macho
img_1_1752760857635.jpg
 
Dunia ina mambo
 
Kijana wa kiume unamsemea housegirl kwa wife? 😀😀😀
 
Huyo dada ameshagundua unamtamani ndio maana analeta mazingira hayo, wewe ni janaume puuzi lisilojali mustakabali wa familia na hasa watoto, ukiwa na mitamaa yako, wanawake wote wanaozagaa huko nje huwaoni?
 
Back
Top Bottom