Ninahitaji dada wa kunifanyia kazi za ndani. Ninaishi Mwanza Wilaya ya Ilemela kata ya Buswelu. Mshahara utakuwa Tshs50,000/ kwa mwezi. Aanatakiwa awe na sifa zifuatazo:
1. Ajue kusoma na kuandika pia matumizi ya simu yale ya msingi eg. kupiga, kupokea na kutumia short message services
2. Awe anajua kupika vyakula vya kawaida tu vya kibantu mfano ugali, wali
3. Awe mkristo mwenye imani ya kiasi, naamanisha asiwe wale wakushinda kanisani au wakuamka usiku na kuanza kuomba kwa sauti kubwa hali ambayo itawanyima watu wengine usingizi
4. Asiwe na mapepo
5. Awe anakula vyakula vyote, asiwe ana bagua mfano hali nyama, maharage au mchicha
6. Asiwe mzururaji kwenye nyumba za watu kupiga soga
7. Awe tayari kufundisha/kufundishwa kwa kuwa hakuna anayejua kila kitu na hakuna ambaye hajui kitu.
8.Awe na "wito" wa usafi.
9. Awe mkarimu wa kiasi, asiwe mtu wa kugawa vitu kwa majirani nikiwa sipo.
MARUPURUPU:
1. Nitamnunulia vipodozi vya kawaida
2. Nitampa pads free kila mwezi
3. Nitamnunulia nguo but mitumba
NB: Sitamchangia kwenye mifuko ya hifadhi za kijamii eg. NSSF
Mawasiliano: 0629 533 764